Fredwaa (Fredi Fidelis) forgive, forget and move on? PB imepoaaa

Ukweli ni kwamba hakuna radio kama mawingu mazee...tuacheni unafki...siku yangu haiendi bila kuwasikiliza hawa jamaa aisee...morning workout yangu ni powerbreakfast mwanzo mwisho...nasikia jamaa yupo likizo.
sawa sawa
 
Daah kweli asee Fredwaa alikua ananiamsha ile alfajiri,,Energy man wamezingua bora arudi,Nashangaa na'tune 88.1 Niskilize Hali ya hewa,reggae,Kakakuona et namsikia Philip Mwihava na KP khaaa nini tena iki??Haya ni maajabu ngoja nimpigie mama
hahahaha ngoja nimpigie mama
 
hahahaha ulimbukeni, kusikiliza redio unaonekana wakijijini, yeye habari zote anazipata mtandaoni hana haja ya redio
duuuuh hata niwe na bando kiasi gan siwez na isitoshe sio taarifa zote utazipata kwenye mitandao ya kijamii kwa wakati na hata ukiipata ni juujuu tu tofauti na kwenye Radio ntasikiliza music ntapata habari na uchambuzi wa ndan zaidi
 
Ukweli ni kwamba hakuna radio kama mawingu mazee...tuacheni unafki...siku yangu haiendi bila kuwasikiliza hawa jamaa aisee...morning workout yangu ni powerbreakfast mwanzo mwisho...nasikia jamaa yupo likizo.
walikuwa zaman sio sasa
now kunavitu vinapungua
kunakipindi nlikuwa sipati raha bila kusikiliza mawingu ila now days Ea wapo vzuri zaidi ya mawingu
 
Back
Top Bottom