Fred Vunjabei na mahusiano ya kuhonga

Fred Vunjabei na mahusiano ya kuhonga

Boss kalewa ameingia kwenye electronics na anafanya vizuri na maduka makubwa sana..
Ndugu unatupanga sasa😡😡😡. Yaani boss kalewa unatolea mfano kwa watu wanaotaka kujifunza mapambano ? Serious? Au we ndio boss kalewa mwenyewe.
Unatuletea mtu ananunua nguo za sale kkoo, unatuletea hapa, unajua kkoo ina vijana wangapi wa 90’s na wanafunga mkwanja kuliko hako katoto ka 3 years ago. Na unapamba mpaka unampoteza maboya mwana jf mwenzako.😂😂😂serious.
 
Hii ligi unataka tuianze maana naona povu limekutoka kwelikweli...Boss kalewa alipokua anaanza kweli alikua anachukua mzigo hapo k/koo lkn now days anachukua from china straight up to here broh! Tena ile quality yenyewe, Wewe kama ni mtu wa ligi haya endelea kumwaga povu kulingana na unavyoelewa 😂😂😂 Sema kitu kilichompa credits nyingi vunja bei ni baada ya kupewa tenda ya jezi za simba that’s all, apart from there he’s just a simple clothing seller with a big celebrity name and that it is what it is😂😂😂
 
Nikifikiria sakirifais nanyong'onyea mno
Kuna hela ya uchawi na ipo ya kupambana kadri uwezavyo kuikuza na kuitunza ili iendelee kuongezeka ingawa hapa lazima uweuna kinga sahihi ili kukuepusha na husuda za walimwengu...pia zipo za dili haramu na hizi huja nyingi kwa wakati mmoja lkn risk yake ni kubwa sana...
 
Mimi hata sihitaji ligi na wewe, naona unaongea usichokielewa. huyo andrew anapambana ila unaposema vitu visivyokuwepo unakua unakosea. Naomba niishie hapo. Kuanzisha duka ka electronics kuwa na centre nyingi si sababu ya kuconclude story hvo.
 
Kuna hela ya uchawi na ipo ya kupambana kadri uwezavyo kuikuza na kuitunza ili iendelee kuongezeka ingawa hapa lazima uweuna kinga sahihi ili kukuepusha na husuda za walimwengu...pia zipo za dili haramu na hizi huja nyingi kwa wakati mmoja lkn risk yake ni kubwa sana...
Duuuh "HUSUDA ZA WALIMWENGU"... Inawezekana nikamtegemea Mungu pekee bila kuwa na kinga za waganga?????
 
Labda kama sijaelewa, lakini sijaona shida hapo, maana kaongea philosophy.

Anazungumzia zaidi kuhusu Discipline. Soda ni symbol ya Capital, yaani mathalani pesa, unaweza kukaa na fedha ulizo hustle kupata?

Wiki, ni wakati wa malengo. Sio rahisi kwa Familia zetu kukaa na soda wiki nzima, so hata kile unachopata unaweza kukiweka na ukawa na subira mpaka kikakapofikia wakati ulopangwa?

Kukaribia kutoboa, ni pamoja na kuzishinda tamaa, na kuvaa subra. Mafanikio yananzia ndani, alimaanisha ukiona umeshinda tamaa ya vitu vidogo kama hivyo, wakati wako wa kufikia malengo yako upo karibu.

Mnawaza uchawi tu.
 
Kijana wa dasilam ukimwona hachezi mbali na friji ujue kuna soda yake ya mirinda nyeusi anasubiri ipoeee,hivi mna nn, Hadi vunja yai kawastukia.
 
Back
Top Bottom