Sharamdala
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 3,559
- 6,564
ningekuwa tajiri #1 dunianiKama ndio hivyo ningeshakuwa bilionea siku nyingi sana...
ningekuwa tajiri #1 dunianiKama ndio hivyo ningeshakuwa bilionea siku nyingi sana...
Kweli unawahi kulewa then guess what next...Ni kulala tu! Labda kama nina pichu ya kuikaza...Miongoni mwa vitu siwezi ni bia za nyumbani
Sasa mzee wa 60s 70s atakua na tabia sawa na za kijiana wa 30s 40sHela zinawapumbaza sana watu
Tajiri asiye mpuuzi mpuuzi nchi hii ni Mzee bakhresa humkuti na Maneno ya kupuuzi puuzi😅😅
Kuna mtu anaitwa boss kalewa unamjua wewe! Wrevta
Tafsiri yangu ni hiiNa ndiyo nikaleta uzi concs waitafsiri
Tajiri anakuja vizuri mno ingawa sio mtu wa mtandaoni kiivyo...Boss kalewa mbona dogo hana balaa sana
Tajiri anakuja vizuri mno ingawa sio mtu wa mtandaoni kiivyo...
Boss kalewa ameingia kwenye electronics na anafanya vizuri na maduka makubwa sana..Ujue fedd ashaanza kuingia kwenye pharmacy huko kitambo, halafu Boss kalewa sidhani