Kwenye pharmacy? Hizi hizi za dawa?
Ndio kkoo na mwanza ana maduka hayo makubwa tu
Kwenye pharmacy? Hizi hizi za dawa?
Hata mimi mbona sina huo upuuzi upuuzi!!!!!Hela zinawapumbaza sana watu
Tajiri asiye mpuuzi mpuuzi nchi hii ni Mzee bakhresa humkuti na Maneno ya kupuuzi puuzi😅😅
Wala vunja bei ni tofauti na boss kalewa...Si ndiyo Vunjabei bro?
😅😅😅Hata mimi mbona sina huo upuuzi upuuzi!!!!!
Hiyo ni siri ya kambi, Ukitaka kiijua jiunge na jeshi😂😂😂Duuuuh! Hawa mitaji wanapata wapi? Watu wana hustle sana
Hapana,Brother Kiranga unamaanisha kwamba Bwana Fred kaongea uongo/chai isiyo na sukari?
Fanya hima unachelewa wapi...Ngoja nipambane nijiunge na jeshi.
Quote ya kipumbavu! Soda ina uhusiano gani na utajiri?Na MsasaBreakTime
"KIPIMO CHA UTAJIRI NI RAHISI NUNUA
SODA WEKA KWENYE FRIJI IKIMALIZA WIKI UJUE UMEANZA KUTOBOA"
--------------FRED VUNJABEI-----------------
Kiasi, tupambaneUkweli mchungu siyo???
Wala haiusini na mapenziKwani hiyo kauli yake inahusiana na mapenzi? Tafsiri yake ni ipi?