Fred Isack Ngakonda

Fred Isack Ngakonda

Hizi Avatar kweli zinatafsiri vile watu walivyo.
 
duh! jamaa anaweza kuwa kashavuta kitambo..
kwanini usivihifadhi tu iwe kumbukumbu yako ya "kutapeliwa"
 
Ef 20 kwa mwingine ni hali ya andaz la mtoto ... Ila hii dunia jaman
 
Stupid little hen! Ulimsaidia kwa shingo upande? Unamvizia akosee unachokitaka umuumize? Roho mbaya haitokusaidia weye. Elfu ishirini tu (hata kama ni yako) ndiyo uchome vyeti?
 
Stupid little hen! Ulimsaidia kwa shingo upande? Unamvizia akosee unachokitaka umuumize? Roho mbaya haitokusaidia weye. Elfu ishirini tu (hata kama ni yako) ndiyo uchome vyeti?
Mlipie mdada acha kutoa mapovu
 
Mkuu sidhani kama ni vyema kufanya hivyo,cause hujui huyo mtu yupo kwenye hali gani,alafu hiyo 20 mbona si kitu kabisa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom