Fred Isack Ngakonda

Fred Isack Ngakonda

Roho ya kimaskini ni kimaskini tu,ndugu jifunze ubinadamu na uwe na moyo wa kusaidiwa kwanza kabisa hukutakiwa hata kupokea hivyo vyeti.Pia kama kumtafuta humu ungetumia njia ingine si hii,
 
nawe una njaa kali sana, 20,000 ndio ya kumuanika mtu kiasi hicho.....watu tumedhulumiwa pesa nyingi na tumesamehe, duh, hii kali
Nilikua namwamini mtu aliyesokota rasta lkn huyu bwana Fred amebadilisha fikra zangu
 
Mkuu ulishindwa kabisa kumsaidia tu hyo 20k mpka ukamuandikisha na kajimkataba? Hufai duniani wala mbinguni
 
Nimdai laki yuko wapi sasa? tangu 2014 namuifadhia vyeti vyake.
Hzo living hazina maana hata ukichoma ingekuwa ni cheti sawa ila pole mkuu kwa kupigwa 20000/= taslimu
Ni haki yako kudai fedha yako ya halali ila ungejiongeza mkuu kwani shida sio siku moja.
 
Elfu 20 ndio unamuanika mtu mitandaoni na vitisho juu! Jinga kabisa!
 
N
Hzo living hazina maana hata ukichoma ingekuwa ni cheti sawa ila pole mkuu kwa kupigwa 20000/= taslimu
Ni haki yako kudai fedha yako ya halali ila ungejiongeza mkuu kwani shida sio siku moja.
Ninacho cheti chake cha form four mkuu.
 
Yan unaanzisha na uzi kabisa kwa ajili ya kumdai mtu elfu 20!kweli vyuma vimekaza!
 
Roho ya kimaskini ni kimaskini tu,ndugu jifunze ubinadamu na uwe na moyo wa kusaidiwa kwanza kabisa hukutakiwa hata kupokea hivyo vyeti.Pia kama kumtafuta humu ungetumia njia ingine si hii,
Njia nyingine ni kumtangaza kwenye gazeti.
 
Ndugu Fred Isack baada ya kuja kwenye ofisi yetu kunitapeli mida ya SAA moja jioni 2014 huku ukitoka machozi na kutiririka makamasi ukiomba msaada wa pesa ya nauli ya kwenda Dar es salaam kwa madai kwamba umeibiwa pesa yote kwenye basi,ukiomba nikukopeshe 50,000/ uniachie vyeti vya shule ndipo kwa huruma yangu nikakubali kukupa 20,000/ na kuniachia vyeti vyako kwa ahadi ya kuja kunipa pesa yangu asubui,lkn mpaka leo sijakutia machoni naomba nikupe taarifa vyeti vyako navichoma moto bila kujua kama uliviiba au no vyeti vyako. Naambatanisha mkataba wako na living certificate cheti cha CSEE sitakiweka kwa sababu ya kiusalama.
Umekosa utu tubu kwa mungu wako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom