Sikonge
JF-Expert Member
- Jan 19, 2008
- 11,550
- 6,062
Maadamu unamfahamu shemeji yangu na Mumewe yaani Kaka L. basi hebu toa miaka kama 4 hivi na utapata umri wangu
Katikati yetu kuna kijana alifariki akiwa mdogo sana (Kashindye) na hivyo ni kama imekuwa kawaida kuwa mie namfuata yeye.
Katikati yetu kuna kijana alifariki akiwa mdogo sana (Kashindye) na hivyo ni kama imekuwa kawaida kuwa mie namfuata yeye.
how old are you broda ? kidding