Franco Luambo Makiadi

Birthday ya Mzee Simaro Masiya Lutumba, kumaliza miaka 70.

Huyu Mzee aliandika zaidi ya asilimia 50 ya miziki yote ya TPOK Jazz. Sam Mangwana na Boyibanda wakiwa kwenye stage. Boyibanda ni yule jamaa alikuwa akicheza Break (robot) kwenye zile video za mwaka 1975.

Hata watoto mitaani waliamua kumpa heshima yake mzee kwa kuimba miziki yake.

Hapa mzee na wanae wakizi-Medley miziki ya POET Lutumba.


Safari, lazima umsikilize huyo mtoto hapo juu. Kwa kweli aliniuwa hasa anapoimba "Bina na ngai na respect."

Huyu dogo ni moto wa kuotea mbali!!!
 
Last edited by a moderator:
Franco n noma vbao kama mario angalia video ya bondowe ya 1975 utakubali mwenyewe walivyoimba vzr wanamziki wetu walichelewa wap kuteka sako kama akna franco?
 
Mie ni mtoto mdogo 88 lakini nazipenda nyimbo za kongo. Sans papier,,,adza ni ngoma kali sana,,Mungu amlaze pema huyu mtu.
 
Watu wanaimba,wengine wana bana pua,wengine studio za kichina zinawashine suati zao...LAKINI..huyu jamaa... alikuwa mwanamziki kweli na kipaji kutoka kwa Mungu.Mfalme wa rhumba(Le grand maiter),mchawi wa gitaa(guitar sossuor).

Kwa upande wangu mimi ndio chaguo langu la kwanza dunian pamoja na kundi lake loooote la Le Tuitor Puisant (All Power)ok jazz,kuanzia Madilu,Sager essuso,Simaro lutumba masia,Sam Mangwana'KICHWA BALAA', josky kiambukata,Mavitukuvisi & much moreee!

Je wewe unamuelewaje Franco na TP Ok jazz nzima??????

- Salute bro. umemtendea haki sana Lwambo Franco huyu ndiye baba wa muziki wa Zaire, kumbuka Tabu Ley, VErkys, Sam Mangwana, Mayaula, hawa wote walitokea kwake he was the greatest nakumbuka siku alipokufa gazeti la New York Times lilitoa habari zake kwa kurasa mbili kitu ambacho huwa ni impossible kwa lile gazeti kumuandika Muafrika kwa hata maneno 3 tu, so far yeye Lwambo na Mwalimu Nyerere ndio wanashika hiyo record.

- Umetendea haki sana Lwambo!!

Le Mutuz
 
niliwahi kusikia kuwa alifariki kwa Ukimwi, 1989 nadhani.
Ugonjwa ambao hata yeye mwenyewe aliupiga vita kupitia wimbo wake wa SADA (tafsiri ya AIDS kwa Francais).
All in all, Franco was great...
Nakumbuka wimbo wake wa Balo Baki ft. Mangwana...
Kuna pale penye wanaimba Kiswahili,
"...Mimi na wewe, kisa gani Mwanamboka?"
SIDA na wimbo unaitwa Attention na SIDA, maana yake Be careful with AIDS.
 


Jamani migebuka ya Kigoma!! Long time....
 
Last edited by a moderator:
Top ten yangu ya nyimbo za Franco TP OK JAZZ:
1. Sadou 2. Matata ya Mwasi Esilaka te. 3. Liberte, 4. Non, 5. Mamou, 6. Testament ya Bowule. 8. Tangawusi. 9. Kadima. 10. Bondowe. TP OK JAZZ.

Ktk zoote mkuu fanya ubandue kadhaa kisha weka ngungi, mobutu, na pesa position.
 
Mkuu wewe umeniona nini nna headset hapa nasikilita Tangawusi. Huyu jamaa mungu alimtunuku hasa, nikisikiliza nyimbo zake nakumbuka miaka ya mwanzo ya themanini nikiwa mdogo kaka zangu walikuwa wakizisikiliza sana hizi nyimbo na mzee wangu! na hata quality ya nyimbo zake ni za hali ya juu sana zilirekodiwa kwenye mitambo ya kisasa sana tena mnoo! hebu sikiliza Tokabola sentiment aliyoimba Josky kiambukuta!
Nakumbuka mwaka 1984 nikiwa songea tulikuwa na kanda yake, moja ya wimbo uliokuwepo ni mbanda ako ti kikumbi, saa yale matamshi ukisikiliza ni km anaimba matakoni kivumbi, basi si nikajirekodi kweli hiyo chorus eti matakoni kivumbi eeeeh mwanamama hahaha sister angu alikuwa anacheka hana mbavu.
Wimbo wa Mario part 1 unanikumbusha sana bustani ya nyanya aliyolima kaka yangu mwaka 1984-85. nilikuwa nikirudi toka shule wakati huo nipo std 4 basi nakuta bro kauweka, nikiingia ndani tu mdingi anaamka ananiambia badirisha yuniform nenda kamwagie nyanya, wakati huo mie sina mpango kabsaa wa kwenda bustanini, natorokea kiwanjani kupiga chandimu, nikirudi tuu saa moja moja ni bakora kwa kwenda mbele!

Hebu sikiliza Matata ya mwasi basi kwa leo halafu uniambie Franco amekukuna vipi

Mhhhhh we co mwenzetu inawezekana n mzee xaxa.....
 
Bolingo eleki na nga angela,
Ekosa nga na zua maladi eeh
Nalinga mibali kasi na suki
Nafukami epayi naye
Carte de visite ya pamba opesa nga
shongo olangwisi nga nawe papa
Libala ekomi kaka na bondela
Elongwe kutu kobondela
Ekomi na sambelaka
Mokili ngo makambo ebele
Ngana kanisa mingi eeh
Nasengi na nzambe asunga ngai
Po na vanda na shongo oooh
Motema tango alingaka moto oh mama
Ezongaka sima te maama
Namileli nzoto na nga
Namikabi na satana
Nandimaki te shongo oboya nga
Nzoto etonda distance na bambanda na te
Soki lisuma nini eza koyela nga.
Nb wadau pesa position japo kaduchu umeme umekata huku.
 
Oh yeah
Ladies and gentlemen
For you
Luambo Makiadi Franco
and Sam Mangwana
Together
New beat
Yeah.
Ba lobaki eh biloba loba to lembi eh
Mobuki lokuta ye na ndoki se moto moko
Kusema sema wali sema tumechoka
Muwongo na mulozi ni watu wa kuchoma
Mobuki lokuta ye na ndoki se motomoko
(ya solo kulutu)
Likambo omoni te obeleli na ba nganda nyoso
(talaka makambo)
Otingama kombo ya leki asali nini eh (ah)
Mangwana, yo, Mangwana ko landa te oh
(Mungu eh)
Ba lobaki eh biloba loba to lembi eh
Mobuki lokuta ye na ndoki se moto moko
Kusema sema wali sema tumechoka
Muwongo na mulozi ni watu wa kuchoma
Kujulikana kumbe tabu mwana mboka
Ukiwa gentil kama muchedo wana changaa
Ukitembeya peke yako wana sema weye ndo mbaya ah
Kujulikana kuna mambo Luambo wetu Franco wa ndugu eh
Ba lobaki eh biloba loba to lembi eh
Mobuki lokuta ye na ndoki se moto moko
Kusema sema wali sema tumechoka
Muwongo na mulozi ni watu wa kuchoma
Rafiki yake a nani eh, wewe Mangwana
(ndiyo bwana)
Usi wafate endeleya jamani eh
(Allah)
Uki pata tabu omba kwa Mungu eh
Allah Mungu mpaka yeye milele na milele
(Aaah!)
Ba lobaki eh biloba loba to lembi eh
Mobuki lokuta ye na ndoki se moto moko
Kusema sema wali sema tumechoka
Muwongo na mulozi ni watu wa kuchoma
Instrumental
Mobuki lokuta ye na moyibi se motomoko
(ya solo ko)
Likambo omoni te abeleli na ba ndako nyoso
(ndako esi epanzana, papa)
Otingama kombo ya Mangwana asali nini eh
(ba tuba tuba)
Mangwana internationale ko landa te oh
(Mungu eh)
Ba lobaki eh biloba loba to lembi eh
Mobuki lokuta ye na ndoki se moto moko
Kusema sema wali sema tumechoka
Muwongo na mulozi ni watu wa kuchoma
Wewe na mimi kisa gani yaya ha
(sema)
Ndugu ni me koseya nini angaliya makambo eh
(um)
Kama kuna mambo unielezeye taratibu eh
Mukorofishwa mbele ya watu, sitaki sikia eh
(Aaaah!)
Ba lobaki eh biloba loba to lembi eh
Mobuki lokuta ye na ndoki se moto moko
Kusema sema wali sema tumechoka
Muwongo na mulozi ni watu wa kuchoma
Yeah
Listen and take your time
Luambo Makiadi and Mangwana
New beat haha
Bolembaka naino
Yeah
Ah na liya Dar Es Salam.
Mombasa yeah
Sankura aha
Leo ni leo, bwana, yeah
Um
Ba lobaki eh biloba loba to lembi eh
Mobuki lokuta ye na ndoki se moto moko
Kusema sema wali sema tumechoka
Muwongo na mulozi ni watu wa kuchoma
 
Back
Top Bottom