FRANCIS GODWIN aenda Mafichoni akihofia kifo kabla ya kujojiwa juu ya kifo cha Daudi Mwangosi

Ndugu yangu, siongei haya kwa nia mbaya. Ni ukweli mchungu. Hao wanaomfahamu watakuwepo mahakamani? Serikali ina nia ya dhati ya kumfikisha mahakamani aliyeua? Jeshi la polisi liko tayari kumtoa kafara Kamhanda? Maana askari wakifikishwa mahakamani, itakuwa lazima kwa Kamhanda kuwajibishwa. I understand many people are looking at this emotionally, but with courts, there has to be no reasonable doubt. If you ask me, partial disclosure of face is a reasonable doubt, especially when there is no credible witness to collaborate the story. Otherwise, tuko pamoja-wote tunapenda waliohusika directly and indirectly wawajibishwe na kushtakiwa. Labda nikuulize ni nan alimuua Mwangosi? Nipe jina moja tu.

Vipi na hata wakipelekwa mahakamani, watapelekwa mahakama gani za kiraia au za kijeshi?
Af sina uhakika sana kama sheria zetu zinakubali ushahidi wa picha! Na ambapo wengi ndo tumepaegamia kupitia picha hz!? Na tunauhakika gani kama baadhi ya picha ni zenyewe na sio photoshop?
 
Kwa nini unatangaza kuwa unaenda kujificha?!! Just disappear!

najiuliza ni wapi ambapo mkono wa serikali hautafika tena kwa kutangaza namna hii? unao ushahidi unasubiri nini ili useme? sema kwanza kabla hayajakukuta magumu manake ni heri kusema kuliko kufa na tai shingoni.
 
tanzania tuna amani wapi si basi tu tunajipa moyo kuwa tuna amani wakati ilishaondoka zamani.
hatuna tena na kwa namna hii huko tunakoenda inaweza ikawa hata haisemwi kuwa tunaamani.
 
Back
Top Bottom