Mkuu fanya kama kauchambuzi kidogo, maana hakuna site yeyote inayoripoti mchezo huu na wewe ndio ripota pekee duniani unayetupa habari soon baada ya mchezo
mkuu,kumbuka safari hii kuanzia refa hadi majaji hawakuwa wabongo,sasa cjui unaongea kuwa kabebwa kwa kutumia grounds zipi,majungu hayasaidii,tufanye kazi watz