Hakuna mtu simuamini kama JK. Hivi unajua ufisadi katika madini aliuanza yeye akiwa Waziri wa Nishati na Madini? Nchi hii ilisogea kwa vile JPM alimkandamiza JK ingawa baadaye......Mkuu wangu ,Mradi huo UTAENDELEA.....
Miradi yote aliyoanzisha El comandante hayati kipenzi JPM itamalizika.....
Komredi tumpe nguvu mh.Rais wetu....