Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,756
Watu wa mazingira ndani ya NCHI yetu walikataa..!! Hii ikikaribia kumgharimu waziriNi UNESCO haohao walioanza kujiridhisha kipindi cha utawala wa hayati baba wa taifa mwalimu JKN kuwa ujenzi wa bwawa la kufua umeme kamwe HALITOATHIRI mazingira ya viumbe na uoto wa asili katika pori tengefu la SELOUS!!!
Watu gani hao wa mazingira walikataa?Watu wa mazingira ndani ya NCHI yetu walikataa..!! Hii ikikaribia kumgharimu waziri
Ukiweka kwa percentage, na huku hujaweka ukubwa wa solo yote hutendi haki.. Sema hekali 1000 zimechukuliwa na PROJECT hiyo kwa utafiti uliofanyika miaka ya 1970 huko... Hakukuwa na utafiti muda mfupi ULIOPITA...Watu gani hao wa mazingira walikataa?
Mbona wataalam wetu waliunga mkono baada ya kufahamu kuwa ni 3% ya ardhi ya Selous ndiyo inayomegwa kwa ujenzi huo!!
Sawa mkuu....Ukiweka kwa percentage, na huku hujaweka ukubwa wa solo yote hutendi haki.. Sema hekali 1000 zimechukuliwa na PROJECT hiyo kwa utafiti uliofanyika miaka ya 1970 huko... Hakukuwa na utafiti muda mfupi ULIOPITA... HAPA WALIO WENGI WALIKUBALI PROJECT HIYO KWA KUMUHOFIA MTU MMOJA TU.. MWENDAZAKE..!!! Maana ilikuwa ukienda kinyume naye lazima uliwe kichwa.. Ilikuwa chupuchupu Makamba aliwe kichwa
Bado tu mkuu wangu...Hivi bado tu wanaendelea kukomaa na sisi...
Hakuna kosa....Kutumia 3% ya ardhi yetu na kuacha 97% ya hiyo ardhi kwa ajili ya dunia na sisi wenyewe hapo kuna kosa gani??
Dona kantri wenzetu nao wana TURATHI ZA DUNIA....Lakini hata ikiondolew kwenye maajabu ya dunia nini tatizo sisi ni dona kantri au nasema uongo ndugu zangu. Hii nchi ni tajiri kweli kweli na tunaleta ndege nyingine kwa cash. Pesa ipo.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Hapo umenena. Mendazake alikuwa tishio kwa kuviringisha - "rolling heads".Ukiweka kwa percentage, na huku hujaweka ukubwa wa solo yote hutendi haki.. Sema hekali 1000 zimechukuliwa na PROJECT hiyo kwa utafiti uliofanyika miaka ya 1970 huko... Hakukuwa na utafiti muda mfupi ULIOPITA... HAPA WALIO WENGI WALIKUBALI PROJECT HIYO KWA KUMUHOFIA MTU MMOJA TU.. MWENDAZAKE..!!! Maana ilikuwa ukienda kinyume naye lazima uliwe kichwa.. Ilikuwa chupuchupu Makamba aliwe kichwa
Uliwafuatilia UNESCO baada ya kuridhika na uamuzi wa Tanzania kuzitumia tu hizo asilimia 3 za eneo lile kipindi cha hayati JPM?!!Hapo umenena. Mendazake alikuwa tishio kwa kuviringisha - "rolling heads".
Neno uzalendo linafundishwa hadi majeshini.Mawazo ya Kizalendo?
Jesus!
Uzalendo na nani?..
Mkuu UNESCO inalinda uendelevu wa BAIOANUAI huko mbugani Selous ?!!Wala hatujawahi faidika na hiyo yunesko huko stigilaz goji.
Unataka tujadili huku ukiuita msimamo wako ndio wa kizalendo. Tukihitilafiana na wewe bado tutakuwa wazalendo kwako? Pili, hivi UNESCO wamekataza bwawa au wanataka tujieleze kwa nini sehemu hiyo ibaki kuitwa urathi wa Dunia? Hatutaki kuulizwa kuhusu jambo ambalo UNESCO ina usemi nalo?Kutumia 3% ya ardhi yetu na kuacha 97% ya hiyo ardhi kwa ajili ya dunia na sisi wenyewe hapo kuna kosa gani??
Kwa hiyo wewe kama wewe unasemaje? Tusitishe mradi wa umeme? Usijifiche katika kumlaumu marehemu! Wewe Stan Mashamba unashauri mradi usitishwe?Hapo umenena. Mendazake alikuwa tishio kwa kuviringisha - "rolling heads".
Kutumia 3% ya ardhi yetu na kuacha 97% ya hiyo ardhi kwa ajili ya dunia na sisi wenyewe hapo kuna kosa gani??