Fossils of the empire: We become what we are!

Fossils of the empire: We become what we are!

Mwanzoni Nyalandu alipotoka CCM na kuhamia CHADEMA na kabla ya kususia uchaguzi hamkusema haya

Nongwa ni pale tu CCM inapo gain si ndio?
Huo ndio tutauita upunguwani. Naona kama huna hoja ya msingi ungepiga kimya tu. Zitto alipofutwa uanachama chadema kwa mujibu wa katiba jimbo halikuwa na mbunge lkn walijiendesha mpaka uchaguzi mkuu ulipofika sasa kwann leo. Tunapoteza mabilioni ya pesa. Binafsi sidhani kama ukifika kwe hayo majimbo ukawauliza wananchi ni nini hitaji au kero zao hawata kwambia wanataka mbunge. Watataja miundombinu maji au umeme lkn sio mbunge. Kwann hizo pesa zisitumike kutatua haja za msingi za wananchi?
 
Bakema huyo jamaa alichoandika ni matokeo ya petty behaviors...
 
c35d3dfbbde323c6e91bf01b278183b1.jpg
 
mshana jr Bila katiba ya Warioba tutaendelea kujenga himaya kwa jiwe la fossil. Sitaki kuamini eti Yale mabilioni ya mchakato wa katiba mpya ndio yameyeyuka Na hamna anayeumizwa kwa hayo matumizi mabaya ya fedha za umma
Kaka....hivi ule mchakato ulukuwwpo hapa Tz..au ilikuwa .ndotoni...mbona hakuna dalili kuonesha ulikuwepo.
Wanasiasa wabaya.
Wanabadili mchana kuwa usiku kisha wanaleta ndoto.
Sirikali...1 ndio....dili...kama mkiuona mchakato ulipo liwekeni langu
Na hili vyama vya siasa vifutwe vyote
Machifu watawale kama zamani
 
Mbweha na fisi tabia zao zinashabihiana... Ni tofauti kabisa na chui na Simba japo wana nguvu kuliko hao moroni... Chui na Simba hawali mpaka wahakikishe wameua na hula kwa staha kidogo sometimes wameketi kama FAMILIA moja... Hii ni dhana ya kujali na mmoja
Mbweha na fisi ni viumbe wasio na tafakuri wakiwa wamejawa na ubinafsi na choyo... Watashirikiana kwenye kukamata tuu.. Lakini kwenye kula utashuhudia zahama kubwa.. Ni walafi na watagombana hata kama watakula na kusaza... Kuna wakati hula kitu ambacho bado kiko hai na pia wakikosa chakula hukulana wenyewe kwa wenyewe
Hii hekima imezidi kipimo
 
Back
Top Bottom