Fossils of the empire: We become what we are!

Fossils of the empire: We become what we are!

Mwanzoni Nyalandu alipotoka CCM na kuhamia CHADEMA na kabla ya kususia uchaguzi hamkusema haya

Nongwa ni pale tu CCM inapo gain si ndio?
Labda umenielewa vibaya.

Mimi ni mzalendo,sifungamani
Na itikadi zozote za chama chochote cha siasa..na siwezi Tu.

Ila kikubwa kwangu ni Tanzania

Na ningependa wanaopewa
Dhamana watangulize hiyo.
 
Kumbe ujumbe umefika
Jifunze kwa wakubwa siku zote hata kama umekariri maandishi ya wengine na kukesha ili uitwe dr bado hakubadili mkubwa kuwa mkubwa tu! Hoja mama haijamtaja yeyote kwa jina bali ni pana iliyosheheni wafu na wazima! Ingeweza kutaja majina but yangejaza kurasa! Kama unafikiri imemlenga mtu basi, mtaje kimoyomoyo ili kuipa heshima hoja!
 
mshana jr,
Bravo! Hakika unastahili kuitwa Wole Soyinka wa Bongo.

Nadhani haya ni matokeo ya nchi yetu kuwa na laana ya kukosa viongozi thabiti wa kitaifa (statesmen) na badala yake kuwa na wanasiasa (politicians) watupu. Tofauti yao iko hapa chini kwa Kimombo:

Politicians versus Statesmen

Politicians Talk it – Statesmen Walk it

Politicians run to Win – Statesmen run to Serve

Politicians are Idealogues (blindly partisan) – Statesmen are Open-minded

Politicians, “It’s all about me” – Statesmen, “it’s all about them”

Politicians focus on the next Election – Statesmen focus on the Future

Source: Politicians Vs Statesmen • Brian Heath
 
Nginana [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji109] [emoji123] am humbled... [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji781] [emoji779] [emoji818] [emoji770] [emoji770] [emoji770] [emoji817] [emoji122]
 
Naona umeamua kupunguza nguvu kwenye thread za uganga na uchawi na kuzihamishia kwenye siasa kuokoa jahazi.

Kweli awamu ya tano imewashika pabaya.
Awamu inyoendesha nchi kipuuzi hii imemshika nani pabaya. Ni ubadhilifu wa fedha kutumia mamilioni kununua washindani wako kisha ukatumia mabilioni kufanya uchaguzi usio lazima.
Hivi, siku wenye nchi wakiamka wakuulize kwa nini unatapanya pesa yao kwa upuuzi huu, utajibu nini?
 
Awamu inyoendesha nchi kipuuzi hii imemshika nani pabaya. Tena hii hata neno laTrump halitoshi. Ni utaahira kutumia mamilioni kununua washindani wako kisha ukatumia mabilioni kufanya uchaguzi usio lazima.
Hivi, siku wenye nchi wakiamka wakuulize kwa nini unatapanya pesa yao kwa upuuzi huu, utajibu nini?
Akili mbilikimo ila kila jambo lina Mantiki na sababu yake... Kuna mambo lazima yatokee ili kuukomboa wakati
 
Mwanzoni Nyalandu alipotoka CCM na kuhamia CHADEMA na kabla ya kususia uchaguzi hamkusema haya

Nongwa ni pale tu CCM inapo gain si ndio?
Tangu kale na kale wabunge au madiwani hujiuzulu au kufa, ni kawaida. Uovu ni pale inapojitokeza dhahiri kuwa kujiuzulu kwao ni mpangilio maalum wenye maslahi mahsusi.
Mbaya zaidi ni pale uchumi wa nchi unapowekwa rehani kwa matumizi haya ya hovyo na ya kujitakia!!!
 
Akili mbilikimo ila kila jambo lina Mantiki na sababu yake... Kuna mambo lazima yatokee ili kuukomboa wakati
Kwa hili linalofanyika hakuna umbilikimo wa akili wala mantiki. Ni tamaa ya tangu kale na kale ya Chama kilicho madarakani kuendesha ufisadi wa kimfumo bila kujali gharama na athari zake kwa wananchi. Kwa ujumla huu ni ujuha na utaahira tu unaowasukuma kufanya haya ili kusalia madarakani. Si walisema "madaraka kwa gharama yoyote!!!!!"
 
IMG_20171230_023508_820.jpg
 
Kinondoni na siha tusijenge himaya mpya kwa kutumia nguzo/fossils za zamani!
 
Tunaweza kuingia kwenye mjadala wa maridhiano kwakuwa mwisho wa siku ni kuponya majeraha na kutengeneza sio kuharibu wala kubomoa

Mpaka sasa tulipofika tunahitaji Serikali ya Maridhiano,tunahitaji ile KAMATI ya Maridhiaono ya akina Askofu Tutu.TUnapoendelea vidonda vinakuwa vikubwa,siku hadi siku,tukishastuka ni vidonda ndugu.

Tunatakiwa tuwaamshe wenye nafasi kama Mahakimu,Viongozi wa dini,wanasheria na wale wote wanaoweza kusema imetosha.Tusiendelee tena.

Dereva tuliyenaye anatupeleka korongoni si CCM au CDM atakayekuwa na uhakika wakupona.Refer wale watoto wa Arusha waliishia kubaki watatu.Watatu hawa ni akina nani mimi nawewe hatujui.
Nilitegemea JF iwe ASKOFU TUTU wa aina yake leo JF si ile iliyoheshimiwa imekuwa ni chanzo cha kujenga UADUI na CHUKI.

ccVut-Nkuvute;BAK
 
Kinondoni na siha tusijenge himaya mpya kwa kutumia nguzo/fossils za zamani!

Mpaka sasa tulipofika tunahitaji Serikali ya Maridhiano,tunahitaji ile KAMATI ya Maridhiaono ya akina Askofu Tutu.TUnapoendelea vidonda vinakuwa vikubwa,siku hadi siku,tukishastuka ni vidonda ndugu.

Tunatakiwa tuwaamshe wenye nafasi kama Mahakimu,Viongozi wa dini,wanasheria na wale wote wanaoweza kusema imetosha.Tusiendelee tena.

Dereva tuliyenaye anatupeleka korongoni si CCM au CDM atakayekuwa na uhakika wakupona.Refer wale watoto wa Arusha waliishia kubaki watatu.Watatu hawa ni akina nani mimi nawewe hatujui.
Nilitegemea JF iwe ASKOFU TUTU wa aina yake leo JF si ile iliyoheshimiwa imekuwa ni chanzo cha kujenga UADUI na CHUKI.

ccVut-Nkuvute;BAK
Tragically sad...!! Only in Afrika could a head stateman run on idea that makes life much worse for the bottom 50% of a country and be taken seriously while being praised by blind followers
 
Tragically sad...!! Only in Afrika could a head stateman run on idea that makes life much worse for the bottom 50% of a country and be taken seriously while being praised by blind followers

Ndipo pale najiuliza "AU" ni nani?Nani ni wafaidika wa 'AU'?Wenzetu 'EU' wafaidika walikuwa RAIA wao bila kubagua Kabila,itikadi au ukanda.Najiuliza 'AU' ni ya nani nani anafaidika?

Nikiangalia EAC ni wale wale tofauti na EAC wanaopata faida na EAC ni RAIA wa Kenya,nani ni "AU" Vuta-Nkuvute naomba msaada
 
Back
Top Bottom