forums za kiinglishi

forums za kiinglishi

Sasa kwa nini usiamue tu kuchangia kwa kingereza mwanzo mwisho kama Fang?

huyu mod ni noma sijui hata ban zake huwa mtu anazielewa au anakazi ya kuhamisha nyuzi maana sijawahi ona ban ya Fang
 
Safi tu mkuu,nadifferentiate kidogo tu

Sawa mkuu, bila shaka unatumia first principle of dy/dx inayosema:
if y=f(x) then
f'(x)=(f(x+h)-f(x))/h
lim h-->0,
cna hakika hua naiona tu mkuu.
 
hahahha what you say???it done yes...lol

Si unaona mtoa Mada unavyokitema , utakijua haraka inavyoonesha una kichwa nyepesi , bluutusi yako nahisi ina 5 G.B
Mi kabla sijaja hapa Jeief nilipita kwanza nikasoma English figure .
 
ngoja nihame thread nisije kuitwa chizi hapa maskani.

hapa nilipo niko peke yangu na umenifanya nicheke mpaka natokwa na machozi, hii thread mods, wangeihamishia kwenye jukwaa la jokes & gossips!
 
hapa nilipo niko peke yangu na umenifanya nicheke mpaka natokwa na machozi, hii thread mods, wangeihamishia kwenye jukwaa la jokes & gossips!

huwezi kuwa serious kwa kweli.......
watu tunavunja mayai wewe unasema tuwekwe kwenye utani....
siamini......
 
Sawa mkuu, bila shaka unatumia first principle of dy/dx inayosema:
if y=f(x) then
f'(x)=(f(x+h)-f(x))/h
lim h-->0,
cna hakika hua naiona tu mkuu.

limit exist if and only if f(x) is finate and continous or otherwise piecewise continous along its domain-mfano wa technical english.
 
Good idea nami nataka ni-improve nifikie level za kina Radhia sweety na Mwenzake Boflo.
 
limit exist if and only if f(x) is finate and continous or otherwise piecewise continous along its domain-mfano wa technical english.

Unatisha sana mkuu yaani unavunja ma egg kwa kwenda mbele.
 
huwezi kuwa serious kwa kweli.......
Watu tunavunja mayai wewe unasema tuwekwe kwenye utani....
Siamini......

fuatilia vizuri comments utaelewa na kuamini nachokisema!
 
Gudi moning ladies and gentolemen... today I am very very shakespear..... senkyuu
 
Back
Top Bottom