forums za kiinglishi

forums za kiinglishi

Is mwanamtapa?
Maana yake: zamani sana

it is very mathematics
ni aghali sana

kilimanjaro is geography
kilimanjaro kuna milima

you are very civics
unaongea sana

hahahahah kongosho you are verry funny.....
 
jamani wekeni hapa forums kama hii jamii forums,za kiinglish nikajoin...nataka niimprove english yangu iwe kama ya akina nyani ngabu na kiranga,nimegundua muda mwingi natumia lugha ya kiswahili,nyumbani na familia tunawasiliana kwa kiswahili na pia online nasikiliza bongo fleva na kuchat nachat na waswahili wenzangu.......nataka nibadilike matumizi yangu muda mwingi yawe enlish kwa sababu ndio lugha nitakayoitumia hapo baadae..

Rebeca binti..tafuta mada nzuuuuri ya kuundia thread halafu andika kiinglishi kitupu watu watashiriki..Ila pale chini andika
ONYO:No smoking Kongosho(Kongosho akae mbali)
 
Jelas, jelas.

I speak eggs tupu.

Rebeca binti..tafuta mada nzuuuuri ya kuundia thread halafu andika kiinglishi kitupu watu watashiriki..Ila pale chini andika
ONYO:No smoking Kongosho(Kongosho akae mbali)
 
You will sun, English is very president (Utajua tu, kiingereza ni rahisi sana)
 
unajua nyie mnakosea
mnakakamaa sana
ili uongee english nzuri lazima umesimama at easy not attension.

Afu unaongea haraka haraka neno lolote la kizungu. Ukishapata acceleration basi kinaselereka tu.
 
unajua nyie mnakosea
mnakakamaa sana
ili uongee english nzuri lazima umesimama at easy not attension.

Afu unaongea haraka haraka neno lolote la kizungu. Ukishapata acceleration basi kinaselereka tu.

na inategemea na msosi uliokula....sio ule ugali na dagaa ukashushia na togwa ukaanza kuongea kingereza....utalia...
 
na ukitaka ufaidi
lazima uwe umedrink beer ukasave water.

na inategemea na msosi uliokula....sio ule ugali na dagaa ukashushia na togwa ukaanza kuongea kingereza....utalia...
 
Back
Top Bottom