forums za kiinglishi

forums za kiinglishi

rebeca

Senior Member
Joined
Dec 18, 2011
Posts
190
Reaction score
27
jamani wekeni hapa forums kama hii jamii forums,za kiinglish nikajoin...nataka niimprove english yangu iwe kama ya akina nyani ngabu na kiranga,nimegundua muda mwingi natumia lugha ya kiswahili,nyumbani na familia tunawasiliana kwa kiswahili na pia online nasikiliza bongo fleva na kuchat nachat na waswahili wenzangu.......nataka nibadilike matumizi yangu muda mwingi yawe enlish kwa sababu ndio lugha nitakayoitumia hapo baadae..
 
Hahahah na radhiaswtety umemsahau,alikuwe Faiza foxy sijui wamempa Ban,mimi huwa naingia na dikshionari tu siku hizi,
 
Ushauri:
Jitahidi uwe unaanzisha nyuzi kwa hicho kiinglish ili watu wachangie na mbadilishane mawazo kiinglish pia na nakuhakikishia kua utaimprove kiinglish. Tamati.
 
Rebeka, watu washaanza kumwaga maujuzi hapa, njoo class tafadhali mbona umepotea ghafla?
 
Is mwanamtapa?
Maana yake: zamani sana

it is very mathematics
ni aghali sana

kilimanjaro is geography
kilimanjaro kuna milima

you are very civics
unaongea sana
 
Back
Top Bottom