Forum ipi unaanza nayo ukifungua jf

Averos

JF-Expert Member
Aug 6, 2010
993
695
Unapofungua JF where do u start, Kuna wengine wanaanzia Jamii photo, wengine International, Wengine Siasa, Wengine, Kwa Docta kule, Wengine wanaanzia Inteligence, basi kila mmoja na upande wake, WEWE HUWA UNAAZIA WAPI?, To be honest mie huwa naaziaga Hoja na Habari Mchanganyiko!
 
hiihii
 
Mimi naanziaa siasa na new posts always nimeshakuwa addicted wa uwanja wa siasa baadaye ndio nitaenda kwenye viwanja vingine.....JF ikienda down for weeks duu najua wengi sana wataathirika kisaikolojia sana sanasanaa.....
 
Mie huanzia Hoja na Habari Mchanganyiko. Nitaje ninapofuatia?
 
Mimi naanziaa siasa na new posts always nimeshakuwa addicted wa uwanja wa siasa baadaye ndio nitaenda kwenye viwanja vingine.....JF ikienda down for weeks duu najua wengi sana wataathirika kisaikolojia sana sanasanaa.....

Kweli kabisa!
Kuna muda ikiwa haipatikani kwa muda nakosa ushujaa kwenye mambo mengine ... Hata sijui kwanini?
 
NEW POST then mapenzi halafu napitisha macho kwa wakubwa
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…