Naanzia **nilipoishia** kwahiyo inategemea.
kumbe nalo jukwaa.
Naanzia nilipoishia kwahiyo inategemea.
Mi naanzia jukwaa la Maria Roza na kuishia hapo hapo....
khaa! si niliskiaga maria roza kaokoka au ni tetesi tu?Mi naanzia jukwaa la Maria Roza na kuishia hapo hapo....
naomba ruhusa ya kuingia jukwaa hilo maana nasikia ufunguo hana robot umeukamatia mwenyewe.
khaa! si niliskiaga maria roza kaokoka au ni tetesi tu?