Gily Gru
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 7,802
- 20,762
Kuwa makini usije dumaza kukuWewe ulishawapa kama hivi? Na je walikuwaje?
Jiunge pia kwenye makundi ya watsapp ya ufugaji
Kuwa makini usije dumaza kukuWewe ulishawapa kama hivi? Na je walikuwaje?
Kuliko kutafuta saving kwenye broiler kwa kuchanganya chakula chako ni bora ujitahidi kupunguza vifo,magonjwa na upotevu wa chakula kwa kumwaga mwanga,sio rahisi kupata siri/formula ya kuwachanganyia hawa kuku wa week 6 na ukafanikiwa so usipoteze muda kulitafuta hili.Wakuu naombeni muongozo katika hili, nahitaji kujua jinsi ya kutengeneza chakula cha kuku wa nyama (broiler).
Vyakula vya kuku wa nyama Vimepanda maradufu halafu soko la Kuku hilo pia linasumbua.
Tafadhali mwenye kujua formula ya utengenezaji wa chakula hicho na kuku akakua vizuri. Na kama kuna aliewahi kutumia njia hiyo. Naombeni uzoefu wenu.
Asanteni
Ningepata link group la WhatsApp la ufugaji ingekuwa poa nipate maarifa zaidi kuhusu ufugajiKuwa makini usije dumaza kuku
Jiunge pia kwenye makundi ya watsapp ya ufugaji
Kweli kwa sasa vyakula vimepanda Bei sana vya broiler yan inafika hatua mpk inakatisha tamaa kuendelea kufuga ila ukisema uchakachue kuku nao unakuta wanadumaa unapata hasara kubwa zaidi yani ni changamoto kwa kweliWakuu naombeni muongozo katika hili, nahitaji kujua jinsi ya kutengeneza chakula cha kuku wa nyama (broiler).
Vyakula vya kuku wa nyama Vimepanda maradufu halafu soko la Kuku hilo pia linasumbua.
Tafadhali mwenye kujua formula ya utengenezaji wa chakula hicho na kuku akakua vizuri. Na kama kuna aliewahi kutumia njia hiyo. Naombeni uzoefu wenu.
Asanteni
Ndo maana tunahitaji kujua formula gani wanatumia nasisi tutengeneze wenyeweKweli kwa sasa vyakula vimepanda Bei sana vya broiler yan inafika hatua mpk inakatisha tamaa kuendelea kufuga ila ukisema uchakachue kuku nao unakuta wanadumaa unapata hasara kubwa zaidi yani ni changamoto kwa kweli
Ningepata link group la WhatsApp la ufugaji ingekuwa poa nipate maarifa zaidi kuhusu ufugaji
Nashukuru sana
Group izo apo jiunge ufaidike
Watakuja kukuambia "weka picha"Watu hawapendi maendeleo kabisa
Wanasema JF kisima Cha maarifa hamna kitu
Sasa andika una vipele sehemu za Siri uone wanavyokuja kama wote. .
Pole mkuu ata mimi yamenikuta ayoChakula kimepanda bei tena finisher ya backbone nilikuwa nanunua elfu 78,000 ila leo nimeambiwa 81,000 na bado kuku sokoni biashara ipo vibaya yaan inanilazimu hawa nilionao niwauze 5,500/= ili maana wanakimbilia wiki ya tano
Kuna jirani yangu alike anafuga kuku wa nyama idadi yake inafika hadi kuku elfu tatu, chakula, alikuwa anamix mwenyewe. Maana alikuwa na mashine.Uzipoteze muda kutafuta hiyo formula hutapata.
Na ukipata utatapeliwa. Kuku watadumaa hutaamini.
Mie ni mfugaji wa mida mrefu sana toka mwaka 2008. Ukilisha chakula cha kutengeneza kuna changamoto kukipatia hivyo unakuta kuku mpk anapata uzito kamili mpk wiki ya 5 -6. Ukitumia chakula mfano cha backbone unauza wiki ya 4 tu.
Kipindi hiki kuku ni wengi sana mtaani na bei ya chakula imepanda mno. Kama mtaji wako ni mdogo usifuge kipindi hiki. Tuachie ma-giants. Mfugaji mdogo suniri bei ianzie 6200 mpk 6500 ndio kuna faida kwa hivi vyakula vya backbone
Kuku ni wengi sana kuanzia mwishoni wa mwezi Oktoba mpk sasa. Hata vifaranga sasa hivi ni vingi sana na vimeshuka bei tatizo soko la kuku baya na hii itaenda mpk January kwa uzoefu
Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
Yes nina tarajia kuwa na kuku 8000 mwakani ila nina broilers, layers na nataka kuanza kujaribu aina nyingine ndio niko kwenye ujenzi wa mabanda Kibaha Pangani.Tangu 2008,hongera sana hope utakuwa na kuku zaidi ya 2000
Mimi nimeanza kufuga mwezi wa pili biashara imeenda vizuri ila mwezi huu ndio nimeona changamoto wateja shida na nna kuku mia 600 bandani wanaelekea wiki ya 5 sasa hii kupanda kwa bei ya chakula kwa mimi mwenye wateja wa kusuasua inanipa changamoto labda wewe mkongwe ungenisaidia mbinu na connection zozote kama unazoMie ni mfugaji wa mida mrefu sana toka mwaka 2008. Ukilisha chakula cha kutengeneza kuna changamoto kukipatia hivyo unakuta kuku mpk anapata uzito kamili mpk wiki ya 5 -6. Ukitumia chakula mfano cha backbone unauza wiki ya 4 tu.
Kipindi hiki kuku ni wengi sana mtaani na bei ya chakula imepanda mno. Kama mtaji wako ni mdogo usifuge kipindi hiki. Tuachie ma-giants. Mfugaji mdogo suniri bei ianzie 6200 mpk 6500 ndio kuna faida kwa hivi vyakula vya backbone
Kuku ni wengi sana kuanzia mwishoni wa mwezi Oktoba mpk sasa. Hata vifaranga sasa hivi ni vingi sana na vimeshuka bei tatizo soko la kuku baya na hii itaenda mpk January kwa uzoefu
Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
Huyu ni tajiri na ana uwezoKuna jirani yangu alike anafuga kuku wa nyama idadi yake inafika hadi kuku elfu tatu, chakula, alikuwa anamix mwenyewe. Maana alikuwa na mashine.
Sahiv anafuga wa mayai na anatengeneza mwenyewe chakula chake
Hongera mkuuMie ni mfugaji wa mida mrefu sana toka mwaka 2008. Ukilisha chakula cha kutengeneza kuna changamoto kukipatia hivyo unakuta kuku mpk anapata uzito kamili mpk wiki ya 5 -6. Ukitumia chakula mfano cha backbone unauza wiki ya 4 tu.
Kipindi hiki kuku ni wengi sana mtaani na bei ya chakula imepanda mno. Kama mtaji wako ni mdogo usifuge kipindi hiki. Tuachie ma-giants. Mfugaji mdogo suniri bei ianzie 6200 mpk 6500 ndio kuna faida kwa hivi vyakula vya backbone
Kuku ni wengi sana kuanzia mwishoni wa mwezi Oktoba mpk sasa. Hata vifaranga sasa hivi ni vingi sana na vimeshuka bei tatizo soko la kuku baya na hii itaenda mpk January kwa uzoefu
Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
Hawachelew kusema yenyew mbaya haiwezi pona hata ukienda IndiaWatakuja kukuambia "weka picha"