Formula gani nzuri kwa ajili ya kuku wa nyama?

Wakuu naombeni muongozo katika hili, nahitaji kujua jinsi ya kutengeneza chakula cha kuku wa nyama (broiler).

Vyakula vya kuku wa nyama Vimepanda maradufu halafu soko la Kuku hilo pia linasumbua.

Tafadhali mwenye kujua formula ya utengenezaji wa chakula hicho na kuku akakua vizuri. Na kama kuna aliuewahi kutumia njia hiyo. Naombeni uzoefu wenu.

Asanteni.
Nina contact na mtu wa tangrains/tanfeeds kama ni mtaalamu vya kula. He can help you. kama bado unauhitaji nijulishe nikushushie PM
 
Andika chochote unachotaka google utapata. Formula za uchanganyaji zipo,majina ya vitamin zitawiwazo zipo, nk.
Unaanza kwa test kidogo ya kuku wachache, huku ukiongeza uboreshaji.
KWA bei hizi juu za vyakula utoboi. Vyakula vipo juu kwa sababu ya mahindi yapo juu sababu soko lilifunguliwa yakauzwa nje, mvua zimeenda na Magufuli hazinyeshi kwa wakati na za kutosha misimu yote, soya ipo juu China kafungua soko so ni faida kuuza nje soya utumika badala ya dagaa kama chanzo cha protini siku hizi viwandani hawatumii dagaa sababu bei ya dagaa ipo juu kuliko soya wakati soya ina protini nyingi kuliko dagaa, pia ishu ya kodi ni tatizo, wakiongezewa kodi nao uwaongezea wanunuzi. Bei ya kuuza kuku ikizidi kushuka sababu kuku wapo wengi mtaani faida kwa mnunuzi.
Ili upate faida ufugaji kuku uwe na mashine za kutotoleshea mwenyewe, utengeneze mwenyewe chakula, usambaze mwenyewe sokoni kuku uwe freezer wakibaki unauza kesho.
Hivi hivi utaishia kuumia mgongo.
 
Kuna jirani yangu alike anafuga kuku wa nyama idadi yake inafika hadi kuku elfu tatu, chakula, alikuwa anamix mwenyewe. Maana alikuwa na mashine.
Sahiv anafuga wa mayai na anatengeneza mwenyewe chakula chake
Huyu ndio wakumuomba maarifa, au nae ni mchoyo?
 
Uzi kama huu sijui kwanini hauna wachangiaji
Sababu vijana watanzania wamelelewa katika ulimwengu wa upumbavu so vichwa vyao muda mwingi vinaprocess upumbavu, vinatafuta taarifa za mambo ya kipumbavu kama skendo za mastaa, ushabiki wa siasa kichawa, kutazama ngono na mengine yasiyo ya maana yaani upumbavu mtu. Wakija kwenye nyuzi za mambo ya msingi kitaifa kama hapa huwa wanachemka kuchangia au kuweza kutoa maoni sababu ni vichwa vyao kijawa na upumbavu zaidi.

Hawasomi mambo positive ya kilimo, uchumi, philosophy, psychology, sociology na science wao kazi kusoma upumbavu wa Manara kafanya nini, mandonga kafanya nini, Diamond kafanya nini, mbowe kamjibu nini Job ndugai. Yaani upumbavu ndio umewajaa vichwani.

Sisi wachache tunaopenda mambo positive wacha tuendelee na ratiba zetu na tujiimarishe kifikra. Hawa wapumbavu watavuna wanachokijaza vichwani mwao. Fikra tunazojaza vichwani ndio akiba ya hekima ya baadae. Sasa sijui watakuja wahadithia watoto wao maswala ya akina manara watakapowauliza mbona taifa letu ni masikini na tuna rasilimali tele na watu wengi.
 
Umeongea ukweli mtupu. Vijana wengi wa Ktz wana vilema vya akili kwenye strategy au maarifa ya maendeleo huwakuti. Wamejaa kwenye ujinga ujinga tu
 
Andika chochote unachotaka google utapata. Formula za uchanganyaji zipo,majina ya vitamin zitawiwazo zipo, nk.
Unaanza kwa test kidogo ya kuku wachache, huku ukiongeza uboreshaji.
KWA bei hizi juu za vyakula utoboi. Vyakula vipo juu kwa sababu ya mahindi yapo juu sababu soko lilifunguliwa yakauzwa nje, mvua zimeenda na Magufuli hazinyeshi kwa wakati na za kutosha misimu yote, soya ipo juu China kafungua soko so ni faida kuuza nje soya utumika badala ya dagaa kama chanzo cha protini siku hizi viwandani hawatumii dagaa sababu bei ya dagaa ipo juu kuliko soya wakati soya ina protini nyingi kuliko dagaa, pia ishu ya kodi ni tatizo, wakiongezewa kodi nao uwaongezea wanunuzi. Bei ya kuuza kuku ikizidi kushuka sababu kuku wapo wengi mtaani faida kwa mnunuzi.
Ili upate faida ufugaji kuku uwe na mashine za kutotoleshea mwenyewe, utengeneze mwenyewe chakula, usambaze mwenyewe sokoni kuku uwe freezer wakibaki unauza kesho.
Hivi hivi utaishia kuumia mgongo.
Umemaliza kila kitu hapa katika hii comment.
 
Kuchanga inawezekana na broile wanatoka safi week 4. Isipokua ufuate kanuni ya uchanganyaji na ulishaji icho chakula chako na ucheze na hesabu zako vizuri ayo mambo ukiweka sawa faida utapata
 
Nainoga zaidi mchanganyiko kuanza week ya pili taratibu week4 wanakua tayari washakizoea na mwili ushakikubalia chakula kikubwa utaratibu wa urishaji na upatie virutubisho sio ujaze mipumba utauwa kuku kwenye mchanganyiko wako kitu cha kwanza pumba usiweke kabisa...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom