Entrepreneur
JF-Expert Member
- Jun 26, 2011
- 1,087
- 620
!!?!@??Poleni jamani, tujaribu kuangalia na vizee vingine vilivyolala visije vikanyoosha moja kwa moja
Kwangu mimi ni msiba wa familia yangu. Furaha niliyoenda nayo kulala nayo imetoweka ninapounganika na wanafamilia kumwombea mzee mapumziko mema peponi. Niko katika shock. A sad day indeed.