Former IGP Harun G. Mahundi IS NO MORE

Wait a minute...nyumbani kwake tegeta, huyu anaishi karibu na Rose Garden !! I doubt hii taarifa

Kuna taarifa zimenifikia kuwa former IGP Harun G. Mahundi is no more,

Amefia nyumabani kwake tegeta, usingizini, ilijulikana baada ya kuona mzee hajaamka muda wake wa kawaida ndio dereva akaomba msaada wa polisi kuvunja mlango,

will come back with more shortly.
 
Kwangu mimi ni msiba wa familia yangu. Furaha niliyoenda nayo kulala nayo imetoweka ninapounganika na wanafamilia kumwombea mzee mapumziko mema peponi. Niko katika shock. A sad day indeed.
 
Kwangu mimi ni msiba wa familia yangu. Furaha niliyoenda nayo kulala nayo imetoweka ninapounganika na wanafamilia kumwombea mzee mapumziko mema peponi. Niko katika shock. A sad day indeed.
Pole Mzee Mwanakijiji and RIP KAMANDA!
 
Poleni wafiwa, hawa ni wale viongozi walitukuka ambao kweli wanahakikisha crimes zinapungua badala ya kuziongeza kama kina M na yule mdau wa madawa A ambaye anacheo kikubwa sasa nje ya nchi. UOVU wao unaendelea kulitafuna taifa hadi leo baaada ya baaadhi ya maharamia wataka fedha na utajiri wa chapuchapu kuhalalisha madawa ya kulevya na ujambazi kama kazi haalali. Again RIP mpendwa wetu Mahundi.
 
Poleni jamani, tujaribu kuangalia na vizee vingine vilivyolala visije vikanyoosha moja kwa moja
 
Pumzika mkwe wangu....japo ulikataa nisimuoe binti yako kwa vile nina madabwada ,lakini mwanga wa milele uangaziwe wewe mstaafu...Tutakutana paradiso......
 
RIP kamanda.. kipindi chako at least Jeshi la Polisi lilikuwa na heshima kidogo..
 
R.I.P Mahundi, Inahuzunisha sana, nakumbuka enzi za Police College Kurasini, Kamwe utakumbukwa.
 
Bwana ametoa, Bwana ametwaa, Jina lake libarikiwe. Rest In Piece, Mahundi!
 
Mkuu M,

So ina maana ni kweli au, maana bado inakuwa ngumu sana kwangu kuamini !!

Kwangu mimi ni msiba wa familia yangu. Furaha niliyoenda nayo kulala nayo imetoweka ninapounganika na wanafamilia kumwombea mzee mapumziko mema peponi. Niko katika shock. A sad day indeed.
 
poleni sana wafiwa mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu
 
Pumzika mkwe wangu....japo ulikataa nisimuoe binti yako kwa vile nina madabwada ,lakini mwanga wa milele uangaziwe wewe mstaafu...Tutakutana paradiso......

Mkuu umenifanya nicheke japo hizi ni habari za huzuni.. Ni kweli sababu ilikuwa hiyo au aligundua utulivu kwa mkwewe ulikuwa zero..? Inawezekana alipata habari za kientelejinsia kwamba mkwe ni mwingi wa habari.. Anyway Pole sana maana ukwe haufagi japo ulipigwa kibuti...
 
Back
Top Bottom