Former IGP Harun G. Mahundi IS NO MORE

Former IGP Harun G. Mahundi IS NO MORE

Watu

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2008
Posts
3,231
Reaction score
1,472
MAHUNDI,+Harun.JPG

Kuna taarifa zimenifikia kuwa former IGP Harun G. Mahundi is no more,

Amefia nyumbani kwake Tegeta, usingizini, ilijulikana baada ya kuona mzee hajaamka muda wake wa kawaida ndio dereva akaomba msaada wa polisi kuvunja mlango.

Will come back with more shortly.
 
Habari za kuaminika zinasema amefariki usiku wa kuamkia leo akiwa usingizini...poleni wafiwa wote
 
sisi ni wa mwenyezi mungu na kwake tutarejea!
 
R.I.P mh Harun Mahundi, Ulikuwa na utumishi uliotukuka wakati ukiwa bado unalitumikia taifa, M/Mungu akulaze mahali pema peponi, nawapa pole sana wafiwa wawe na moyo wa subira, katika kipindi hiki kigumu.
"Sote ni wa Mwenyezi Mungu na Hakika kwake tutarejea" Ameeeen.
 
Duh, dunia hii RIP Mzee wetu. Busara zako na maneno yako just last week tutayaendeleza.
 
Back
Top Bottom