Nyalotsi
JF-Expert Member
- Jul 20, 2011
- 6,978
- 5,025
majibizano: doctor Vs F5 student.
ameshindwa kutambua nini nilichomaanisha. Sijui akiwa ulayasi hata hivyo vitabu atatoa wapi!
majibizano: doctor Vs F5 student.
Ni Upepo Tu,Utapita!
dogo acha ujinga,nimesoma form five yote bila mwalimu wa biology,wa physics alikuja tukiwa form six. Sasa hivi ni daktari nikipambana kwa migomo kutetea maslahi yangu na ya watz. We hujamaliza hata miezi miwili! O level ndo walimu wa physics,chemistry,bios na geography walihama tukiwa form two.
Naamini unachosema ni ukweli kutoka moyoni mwako, LIKE!
Jamani kweli elimu ya Tanzania inazidi kushuka,wale tuliofaulu kuingia kidato cha tano tangu tujiunge mashuleni walimu hawaingii darasani hat kidogo na zaidi hizi shule kongwe hasa za sayansi ikiwemo tosamaganga,nyakato bukoba hapa singida ipo shule moja pia ,sijui wenzetu mlioko shule nyingine huko mtujuze.nauliza je waziri wa elimu ana habari na hili.na je mnatuandaa kuwa wataalam kweli?waziri fuatilia haraka.
Nahisi utakuwa umeolewa na siasa za upinzani..! Unadhani wakiingia wapinzani wanafunzi ndo watakuwa wanafundishwa kila kitu! Hao walimu wa kufundisha ndo watapatikana wapi kama sasa kila mwaka wanajiriwa wote na bado hawatoshi?!ccm ndio wanasababisha yote haya...endeleeni kuichagua
Nahisi utakuwa umeolewa na siasa za upinzani..! Unadhani wakiingia wapinzani wanafunzi ndo watakuwa wanafundishwa kila kitu! Hao walimu wa kufundisha ndo watapatikana wapi kama sasa kila mwaka wanajiriwa wote na bado hawatoshi?!
FICHA UPUMBAVU WAKO...
Ishu sio upungufu wa walimu, walimu wapo tena wa kutosha sana, sasa kazi kwako kujua tatizo nini, halafu watu wa magamba ndo wanaolewa na CCM, rejea wimbo wa gamba mwenzio a.k.a mama misifa.
Jamani kweli elimu ya Tanzania inazidi kushuka,wale tuliofaulu kuingia kidato cha tano tangu tujiunge mashuleni walimu hawaingii darasani hat kidogo na zaidi hizi shule kongwe hasa za sayansi ikiwemo tosamaganga,nyakato bukoba hapa singida ipo shule moja pia ,sijui wenzetu mlioko shule nyingine huko mtujuze.nauliza je waziri wa elimu ana habari na hili.na je mnatuandaa kuwa wataalam kweli?waziri fuatilia haraka.
WENZAKO WAKAT BABA ZAO WANASAKA HELA ZA KUWAPELEKA SHULE NZURI YE [BABAKO]ALIKUW KILABUN MIGUU JUU KWENYE VIGODA!XAXA MTOT WAKE UNAKUL JOTO YA JIWE,CHEZEYA UMASKINI WEYE
:juggle:!!!EMBU MIE NILE NA hoto: