Form 4 na wengine, angalieni hapa!

Brother mie kuna jembe langu lina PCB but imesimama ki_hivi DDC vip kuhusu huyu ana four ya 27 na result lake ni_civ D, chem D, geo D, eng F , kisw D, math F,phy D, hist D and bios C..,nifahamishe kuhusu hapo..

Hahahaaaa jembe lako limechemka broda!! Hembu pitia hii sredi utapata option nzuri ya nini cha kumshauri jembe lako!! Kureseat PCB ni mziki mzito edwin...mwambie jembe hapo hana ujannja, abadili upepo tu.
 

Good advice to follow....elimu yetu kwa sasa imechakachuliwa sana, BILA self effort inakula kwako!! Huu ndio unaitwa USHAURI WA BURE
 
hivyo kwa ushauri wako mkuu ni bora dogo arudie hesabu ili aondoe hiyo f ili aweze kupata option nyingi university!

ya ndo mana ake...afute f ya hesabu hapo, maoption kibao atayakuta huko mbele...hesabu ndiyo mpanggo nzima lakini watoto ukiwaambia hivi huwa hawaelewi always...sijui kwanini??
 
Mimi pia nina 4 ya 28
nina d saba,c moja na f ya math,naomba mnisaidie ntaweza apply wapi?
 
Napenda kwenda vyuo vya afya wanaweza nichukua?maana nina d ya bios,phys,chemis na hyo f ya math,watanichukua?
 
Mwenye mawasiliano ya simu ya chuo hiki hapa chini naomba anisaidie.

CLINICAL OFFICER'S TRAINING CENTRE,
P.O.BOX 30,
IFAKARA,
MOROGORO.


Tafadhali sana ndugu zangu, naomba mnisaidie.
 
Mwenye mawasiliano ya simu ya chuo hiki hapa chini naomba anisaidie.

CLINICAL OFFICER'S TRAINING CENTRE,
P.O.BOX 30,
IFAKARA,
MOROGORO.


Tafadhali sana ndugu zangu, naomba mnisaidie.
nimekuPM hii namba ila kwa faida ya wote na watu wengine jaribuni kutumia hii namba 2625018 ni land line hiyo tumia extension ya morogoro
 
Extension ya morogoro ni ipi hiyo mkuu au ndo 022?

022 ni ya dar es salaam

Check hapa...Area codes kwa region, anza na 0

Arusha27Lindi23Ruvuma25
Coast Region23Mara28Shinyanga28
Dar es Salaam22Mbeya25Singida26
Iringa26Morogoro23Tabora26
Kagera28Mtwara23Tanga27
Kigoma28Mwanza28Zanzibar24
Kilimanjaro27Rukwa25
 
Yap ni vizuri sana kuwapa muongozo, wengine washaanza kupanic huku mtaani "mi ntafanya nini?" hii ndo elimu si lazima ukae darasani, tatizo utakuta hata hao wadogo zetu bado hawapo kwenye mitandao itayofungua macho yao. Lakini watasikia tu hata kwa kuambiwa.....
 
Hapo una uwezo mkubwa wa kuchaguliwa combination ya hkl, lakini je ulifanya selection ya shule gani na combination zipi? Kama ulichagua comb ya hkl shule yoyote 78 percent utachaguliwa
hizo asilimia nyingine hutegemea zaidi ufauru wa mwaka kwa wanafunzi katika mwaka wa masomo.
 
civ.c hist d geo.c.kisw d eng.c phy.c chem.b bios b b/math .a add.math .d shule ya kwanza kuchagua ni tosamaganga pcm ya pili minaki pcb ya tatu njombe cbg. nk.sasa uamuz wake ni kusoma pcb ili awe dr.je kwa matokeo haya ya mwaka huu unaweza kumkadiriwa kuenda shule gani?na je shule hizo tatu zinaweza kuwa na ubora sawa au ipi bora zaidi? samahani wakuu maswali nahisi ni mepes lakn ynahtaj majib magumu hebu nifumbuwen au aende privet kama ndvyo shule gani kwa pcb? nawaskisha
 
Nimepata three ya 24 nina C nne yani ya Hist,kisw,Engl,na Civics na D ya math,biology na Geography naweza kuchaguliwa government school au ni tegemee private school

kimehasabu na kwa kiwango cha ufaulu na ongezeko la shule za A-LEVEL kuna uwezekano mkubwa wa wewe kupata shule tatizo tu ni kuna uwezekano mkubwa wa kupata shule ambayo hukuichagua kutokana either na ushindani wa shule au cut off point za shule husika ila kama ulianza na HGL AU HKL NAONA UMEFANYA FRESH SO KUNA UWEZEKANO WA KUPATA SHULE ULIYOCHAGUA
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…