simba songea
JF-Expert Member
- Feb 8, 2016
- 1,496
- 1,219
hapo kozi zote kasoro za sayansi..akasome kozi moja wapo kati ya hizi banking and finance,isurance and risk management taxtion, zote koz zipo ifm note usimpeleke private institution vingi sana ubabaishajiKwa mtu Mwenye ufaulu huu anaweza soma course gani ambayo inaweza kumuingizia kipato halali.
History -C, Civics- D Kishwahili- C, Geography- D.
Naombeni ushauri jamani.
Nakushauri urudie mtihani!Kichwa Cha Habari kinaejieleza ...,nimeanguka wa Kubwa ..Naombeni mnishauri Nijishikilie wap ni Move On from that Division .
Sihitaji Kurisiti .
Mtu keshasema hataki kurisiti wewe unamshauri arudie mtihani ' MAJANGA'Nakushauri urudie mtihani!
Akalime...Mtu keshasema hataki kurisiti wewe unamshauri arudie mtihani ' MAJANGA'
Akalime...
Njoo chuoni kwanguNimerudia mtihan na matokeo yangu yamekuwa c mabaya xana nikiwa nimepata C 4 na D 3 lkn kombi halijabalance history imegoma kuna D. Je naweza kujiunga na kidato cha tano shule ya private?? Msaada wenu tafadhal
Inahitajika mtahiniwa wa mtihani wa kidato cha sita awe na si chini ya C Tatu (3) kwenye cheti chake cha kidato cha nne
NB :Haijalishi ni C za somo gani kinachohtajika ni C Tatu tu.
et eeeh nimekupataNadhani matokeo yako yangekuwa mazuri zaidi kama ungejua matumizi sahihi ya X na S
Out of topic.....Axante xana ndugu yng mana nilitngwa