Form 4 na wengine, angalieni hapa!

jamani msaada rafiki yangu kapata div 3 ya 24 Bios C phy D chem D Kisw D Hist C civ C Eng C Geog D .. Anapenda sayansi na pia hata chuo kma inawezekana lkn.. Ihuxu science .. Mxaada plz
 
Nina mdogo wangu wa kike ame-reseat mwaka jana na amepata division four ya 31 km ifuatavyo: HIST-D, KISW-D, ENG-D, LIT IN ENG-D, GEO-F, CIV-F NA MATH-F. Mwaka jana alipokuwa mtahiniwa wa shule alizungusha yaani alipata division zero. Naomba mnisaidie ni koz gan nzuri ya kusoma kwa ngazi ya cheti ambayo itamsaidia kujiajiri au kuajiriwa kirahisi, sio kozi ya kusoma kisha akae mtaani tu bila ajira. Pia mwenye kujua taratibu za kujiunga na polisi nae nahitaji msaada wake.
 
Unaonesha chaguo lako ni polisi.
Labda kwa kukushauri muhurize kwanza yeye usimchagulie maana uwenda ana mapenzi yake usimwalibie kipaji
 
Habari Wakuu nna ndugu yangu amepata div 1 hvo nilikua naulizia jinsi ya kujiunga na marian girls , st joseph na st mary goreti n cannosa
 
mwenye 3 ya 26
civ c
bios b
chem c
geog c
hist c
engl b
math d
kisw c
je anaweza kuchaguliwa govment wakuu nisaidieni.
 
mkuu tt boy sizinga kwnye hcho kifungu na2. mbn nackia hyo system hakuna ckuiz na mm nna hzo credit 2 na d kama 5 iv
 
Habari Wakuu nna ndugu yangu amepata div 1 hvo nilikua naulizia jinsi ya kujiunga na marian girls , st joseph na st mary goreti n cannosa

Unachotakiwa kufanya ni kuchukua fomu unajaza halafu huwa kuna siku ya kufanya mtihani wa kujiunga.Huwa hawaangalii tu pass alizopata lazima afaulu na mtihani wao pia.

Kama uko dar es salaaam au una ndugu Dar es salaam form za Mary gorreti na Marian girls zinapatikana Msimbazi centre .
Marian Girls ofisi yao ipo pale lango kuu la kuingilia msimbazi centre upande wa kushoto.Form za mary goreti zinapatikana kule ndani msimbazi centre karibu na Jengo la kanisa la msimbazi centre

Fomu za kujiunga na ST joseph HUWA ZINAPATIKANA OFISINI kwao Pale ST joseph shuleni Opposite na kanisa la ST joseph POSTA ya zamani na pia hupatikana shuleni kwao.

CANOSSA fomu zao zinapatikana shuleni kwao kule maeneo ya TEGETA,DAR ES SALAAM
 
Ni second choice km chuo hakitaeleweka. Ni machaguo yake binafsi 1 ni chuo na 2 ni polisi
 
Habarin wadau' ndugu zangu nimepata F26 ikiwa km ifuatavyo kimasomo geog-D,HIST-D,MATH-F,CIV-C,ENGL-C,BIOS-C na KISW-D,kwa ushauri na maon nini nifqnye karbun sn!
Kama ni chuo nenda muhimbili ila kma unaona vip nenda form 5 privet
 
k5 ni noma sn wazeee labda tusubir hy mwez wa nne mungu akijal lkn nikufikiria kidato cha tano ni mtihan mwingine kbs
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…