capacity charge
JF-Expert Member
- Mar 26, 2015
- 352
- 489
Hata mimi nilikuwa nawaza hivi mkuu, asanteMpeleke ufundi
Nimeku PM mkuuMpeleke chuo cha ufundi. Ukitaka chuo kizuri n mp nitakuelekeza
Yes!Muulize nini anataka kufanya
Nitafanya hivyo mkuu, ningoje atulie kwanzaMuulize nini anataka kufanya
Thanks mkuuOngea nae kwanza upate mtizamo wake kwanza kuhusu kurudia mtihani au kwenda kusomea kazi.
Kama kurudia mpe QT
Kama course zipo nyingi mfano
Ususi.upambaji.urembo
Hotel management
Computer graphic designs
Kozi zifuatazo atamaliza ila kazi itamsumbua kwani watadai cheti cha kidato cha 4
Secretarial studies
Record management
Human Resources
Business Administration
etc
huuu ndio ushauriOngea nae kwanza upate mtizamo wake kwanza kuhusu kurudia mtihani au kwenda kusomea kazi.
Kama kurudia mpe QT
Kama course zipo nyingi mfano
Ususi.upambaji.urembo
Hotel management
Computer graphic designs
Kozi zifuatazo atamaliza ila kazi itamsumbua kwani watadai cheti cha kidato cha 4
Secretarial studies
Record management
Human Resources
Business Administration
etc
Nina uncle wangu kapata matokeo mabaya sana, ambayo sikuyategemea na wala yeye hakuyategemea ila all is well.....