Form 4 leavers Mbeya mjini njoo nikupe kibarua.

Red Giant

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2012
Posts
15,650
Reaction score
20,994
mi ni wakala wa vitabu. natafuta vijana wawili wakiume waliomaliza form 4 mwaka huu. kazi ni kutembeza/kuuza vitabu maeneo ya watu wengi. ukikizi vigezo nitafute PM. usisahau kusema mtaa unaoishi na kuweka mawasiliano.
 
Naishi Soko Matola mtaa wa Kanisa nyumba namba 4 imeandikwa A. J. Kakuyu
 
kumbe upo uswahilini hapo!. mi natoka kwa kina Mwasimba.
Kule kulikuwa na Mswanga, Santaiga, Brown, Assa na bendi ya Dada Sererina Punguza vituko. Nakumbuka zamani za kale Mwasimba alipandisha bendera mlimani na kutangaza kuwa Nonde ni Taifa huru na limejitenga kutoka Tanzania.
FFU na wajeda wakamfuata, alikiona cha mtema kuni
 
zamani kulikuwa na ubabe sana, toka waamishe machinjioni kumepoa na hela hamna.
 
Back
Top Bottom