stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 19,014
- 14,798
bila shaka wewe mpaka sasa unajua unachkifanya na una hela mbayaForex ni biashara ambayo kama haujui unachokifanya basi haina tofauti na betting.
Lakini pia ukiwa na tamaa, ukikosa nidhamu na utulivu, hata kama unajua unachokifanya basi unaishia kuwa kama wanao beti tu.