Forex vs Betting

Forex vs Betting

Je forex ni sawa na betting?

  • Total voters
    26
  • Poll closed .
sio kama wewe, unaonekana unajua trading zaidi kiasi kwamba wengine wote wanaongea pumba wewe ndo una akili tu peke yako, vp hio edge hujaipata tu mpaka leo uwe tajiri?
Bado wew vip ushakua tajir ktk career yako uajir vijana wajinga kama sisi
 
nikusanue tu, ukishaona tu unadeal na MT4 we jua ni zumbukuku, kwa lugha nyepesi huna uelewa kinachoendelea duniani ni nn

View attachment 3329245View attachment 3329246
View attachment 3329248

mkishafunguaga izo kendo sticks mnaona kama mnaielewa dunia kuliko watu wote 🤣 🤣 , kumbe tunawachora tu tunajua kabisa hii mingombe tutaipeleka tunavotaka! ukikaa kidogo edge, kidogo tena emotions inshort tunpenda mnavopata tabu mpaka pale akili zitakapowakaa vizuri
Wew kingereza ujui kwanii
 
nikusanue tu, ukishaona tu unadeal na MT4 we jua ni zumbukuku, kwa lugha nyepesi huna uelewa kinachoendelea duniani ni nn

View attachment 3329245View attachment 3329246
View attachment 3329248

mkishafunguaga izo kendo sticks mnaona kama mnaielewa dunia kuliko watu wote 🤣 🤣 , kumbe tunawachora tu tunajua kabisa hii mingombe tutaipeleka tunavotaka! ukikaa kidogo edge, kidogo tena emotions inshort tunpenda mnavopata tabu mpaka pale akili zitakapoewakaa vizuri
Ndo utulie sasa we kinakuwasha nini kama kuna tabu tunaipata just mind you're own business kuliko kuwadacourage wanaopambana kivyao haijalishi wana access na market halisi or not .funga domo lako
 
Ndo utulie sasa we kinakuwasha nini kama kuna tabu tunaipata just mind you're own business kuliko kuwadacourage wanaopambana kivyao haijalishi wana access na market halisi or not .funga domo lako
we jamaa unaona kama unaongea na mtoto mwenzako, ninyamaze ili muafundishe tuition 🤣
 
kaza fuvu wap, msipodhibitiwa mnaishia kuwachangisha watu ela for nothing
Na kweli unyamaze maana akili yako imelemaa kuwa vitu vinatakiwa viwe vinafanyika 100% ili kufanikiwa kitu ambacho hakipo unaweza kufanya vitu kwa 30% only na ukabutua kwahiyo nyamaza mazima uache kuropoka
 
Attachments

  • Screenshot_20250510-141040.png
    Screenshot_20250510-141040.png
    221.4 KB · Views: 10
Hao wanaochangisha ndo gemu wameliona tafu kuzid uwezo wao wa kuhimili kwahiyo wanataka wapate kwa njia nyingine kwa kifupi ni wahuni
hhhee wakijaga uku kelele nyingi, risk reward 🤣 🤣 🤣 wanatuona kama sisi mangombe vile, sasa jamaa anasema nikae kimya tena
 
Na kweli unyamaze maana akili yako imelemaa kuwa vitu vinatakiwa viwe vinafanyika 100% ili kufanikiwa kitu ambacho hakipo unaweza kufanya vitu kwa 30% only na ukabutua kwahiyo nyamaza mazima uache kuropoka
fanya kazi halali acha utapel
 
Forex ni biashara ambayo kama haujui unachokifanya basi haina tofauti na betting.

Lakini pia ukiwa na tamaa, ukikosa nidhamu na utulivu, hata kama unajua unachokifanya basi unaishia kuwa kama wanao beti tu.
 
Hata betting ni mahesabu almost kila kitu hesabu dunian most ni lazy kama stakehigh 😀😀😀
unapo bet unakua unajua wachezaji na ofcourse timu zinazoshinda na kuchukua ubingwa znaeleweka, ila forex unafanya kitu ambcho hukijui na hukielewi but you want people to think unajua
 
Back
Top Bottom