Forex vs Betting

Je forex ni sawa na betting?

  • Total voters
    26
  • Poll closed .
Ulitaka miaka isimame mkuu ili iweje kila kitu lazima kitake time. Ukiona wewe huwezi sio sheria kwa wengine kuwa hawawezi,
Kama kilikushinda unakaa pemben kimyaa kimya sio kuharss wengine utadhani ndo unajua sannaaa kumbe tikiti tu
maneno yangu sio sheria, ukiona una akili zaidi we fanya
 
Ulichokisema hapa very true. Pia, ukitumia Fibonacci Sequence kwenye Aviator, unafanya same thing. The biggest advantage ya Aviator, round moja inachukua less than 60 seconds yaani dk. 1.

Meaning ukitumia formula za Forex kwenye Aviator utapiga hela zaidi
 
acha kujielezea sana, kama unajali mda kwenye maisha yako chukua ushauri
Shida yako ww ambacho hukiwezi basi unahisi hakiwezekani tena kwa mtu mwingine yoyote yule hakuna unachojua kuhusu price betting kwenye hizi currency maarufu kama forex trading . Nakueleza tena unapokuwa umepata edge unageuka kuwa ww ndo Casino (always house wini) katika trade mia ukilose trade trade 60 na kupata trade 40 bado utakua profitable kama psychology yako iko sawasawa .
Huku hatujali kuwa right all the time when we place trade bali tunataka kuwa na deep consistency ya kuexcute trade according to you edge bila kubadilisha badilisha.
ila nasisittiza it takes time na focus kubwa kuliko unavyodhani kufanya mpka mambo yaanze kwenda kiurahisi
 
Shida ya aviator ni moja tu haina viashiria kuwa kwa jins hivi kinavooneka basi ishara hii itatambulisha possibility fulani kwahiyo sijui labda lakini.aviator haina Edge na psychology
 
🀣 🀣 🀣 all the best! you will learn the hard way
 
Mwambie awape vijana ajira kama ana biashara ambayo ni 100% uhakika anapata revenue ni mpiga kelele huyo..
 
Wew ni mpingaji una unafahamu kuhusu financial engineering nenda kalale tu..
tatizo unaongea pumba alafu uko proud, yaani wewe unabishana na mpaka mtu aliesomea icho kitu, yaani wewe ni mjinga alafu uko proud na ujinga wako 🀣
 
tatizo unaongea pumba alafu uko proud, yaani wewe unabishana na mpaka mtu aliesomea icho kitu, yaani wewe ni mjinga alafu uko proud na ujinga wako 🀣
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ wee si una akili ming
 
Mwambie awape vijana ajira kama ana biashara ambayo ni 100% uhakika anapata revenue ni mpiga kelele huyo..
Huyu mshamba tu kitu ambacho anaona hakiwezi basi anahisi kila mtu hawezi kufanya ukimwambia huku ni mwendo wa PROBALITY TU haelewi yeye anataka matokeo ya 100% ambayo hayapo na hayaji kutokea, atoe ushamba wake hapa.
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ wee si una akili ming
sio kama wewe, unaonekana unajua trading zaidi kiasi kwamba wengine wote wanaongea pumba wewe ndo una akili tu peke yako, vp hio edge hujaipata tu mpaka leo uwe tajiri?
 
Huyu mshamba tu kitu ambacho anaona hakiwezi basi anahisi kila mtu hawezi kufanya ukimwambia huku ni mwendo wa PROBALITY TU haelewi yeye anataka matokeo ya 100% ambayo hayapo na hayaji kutokea, atoe ushamba wake hapa.

🀣 🀣 🀣
 
nikusanue tu, ukishaona tu unadeal na MT4 we jua ni zumbukuku, kwa lugha nyepesi huna uelewa kinachoendelea duniani ni nn

mkishafunguaga izo kendo sticks mnaona kama mnaielewa dunia kuliko watu wote 🀣 🀣 , kumbe tunawachora tu tunajua kabisa hii mingombe tutaipeleka tunavotaka! ukikaa kidogo edge, kidogo tena emotions inshort tunpenda mnavopata tabu mpaka pale akili zitakapowakaa vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…