pia, usihangaike kila sku kujilaumu sjui market makers, Risk reward au emotions, the market is just as it is and wasnt created for people to make money bali kubalance mahesabu ya benki kuuBasi Acha sisi tuendelee kumake profit kwa kitu ambacho hakipo mkuu
Acha ujinga na kukosa maarifa... Forex trading is a skill, same principles zinazotumika kwenye other financial markets (stocks, futures, options.... etc) zinatumika kwenye forex.itsnot about believing its about facts:
View attachment 3236180
Kila mtu abaki na anachoaminpia, usihangaike kila sku kujilaumu sjui market makers, Risk reward au emotions, the market is just as it is and wasnt created for people to make money bali kubalance mahesabu ya benki kuu
🤣 🤣 forex is pure betting because forex market haipo, hakuna kitu kama forex market unachofanya ni kubet tu kama itapanda ama itashuka nothing more than thatAcha ujinga na kukosa maarifa... Forex trading is a skill, same principles zinazotumika kwenye other financial markets (stocks, futures, options.... etc) zinatumika kwenye forex.
The so called "betting" uliyoenda google huko, you don't just bet out of nowhere, you make "SKILLED BETTING"
Otherwise acha kuniquote unanipotezea muda
sio swala la kuamini its a matter of facts!Kila mtu abaki na anachoamin
Kweli sijui ni nini wanachokataa hawa🤣 🤣 forex is pure betting because forex market haipo, hakuna kitu kama forex market unachofanya ni kubet tu kama itapanda ama itashuka nothing more than that
Ukibet ikapand unapata hela? au matikiti maji🤣 🤣 forex is pure betting because forex market haipo, hakuna kitu kama forex market unachofanya ni kubet tu kama itapanda ama itashuka nothing more than that
likewise ukibet timu ikishinda unapata matikiti majiUkibet ikapand unapata hela? au matikiti maji
Jaman forex sio Wala Haina element za bettingNashangaa sana waungwana wanaosema forex trading sio betting
Forex ni betting 100%Jaman forex sio Wala Haina element za betting
Kama forex ni betting basi shughuli zote, yaan kilimo, ufugaji, trading and non trading activities ni bettingForex ni betting 100%
Mim nilifanya biashara ya mawe ya makilo na tani ( not game stone) kipindi kabla ya MAGUFULI...mpaka Leo nipo addicted siwezi kufanya kazi nyingineMiaka ya hivi karibuni kumezuka biashara tofauti tofauti za mitandaoni ikiwemo cryptocurrency, forex na online platform za kuingiza fedha
Naomba kujua je kushiriki katika biashara hizi huweza kusababisha shida ya afya ya akili na kupelekea kua uraibu au addiction na mtu kushindwa kuachana na hii biashara ata kama ina leta hasara kwake?
Forex nimefanya sana toka 2018 niko second year hadi 2023 natoka mtaani naweza sema ilinisaidia kiasi chake kuishi kitaa kwa comfortable life.Mim nilifanya biashara ya mawe ya makilo na tani ( not game stone) kipindi kabla ya MAGUFULI...mpaka Leo nipo addicted siwezi kufanya kazi nyingine
Nimefanya sport betting na forex
Kwangu Bora forex naliwa nikijielewa hamna hamna napata kifuta machozi
Hata betting pia nayo siku hizi unaweza kufanya yote hayo.🤣Forex na Betting vyote viko based on probability outcomes. Similar to other business dealings nazo ziko based on probability.
Probability: Outcome is either you win or lose.
Linapokuja swala la biashara huwa kuna probability ila kunaongezeka concept ya mitigation. Hizi ni skills and techniques ambazo watu hutumia ili kuhakikisha probability ya "Winning" iko kwa asilimia kubwa kuliko "losing". Kibiashara utaangalia swala la msimu na bidhaa gani inahitajika ili uweze kuuza haraka na kwa faida.
Kwenye forex hizi skills techniques huitwa "stratergies". Utatakiwa kuwa knowledgable juu ya tabia za soko la fedha ndipo ujue kuwa utaingia sokoni na wakati gani kununua au kuuza currency pairs zako au commodities ili uwe upande wa faida. Kuna kukosea mahesabu na market manipulation ila hio inatokea mara chache ila endapo utakuwa na strategy imara ambayo haikuangushi. Unaweza ukapoteza sehemu ya ulichowekeza hutopoteza jumla.
Kwenye betting probability outcomes ziko based on speculations.
Speculations: Ndio wanaita ubashiri kwa lugha ya taifa. Unaamua tu kuwa flani nimpe ushindi na flani nisimpe or otherwise. Matokeo yake ni kwamba ukikosea unapoteza jumla ila ukipatia pia unapata jumla.
We mshikaji unazingua ujue kwenye hii betting ya forex kuna kitu kinaitwa EDGE .likewise ukibet timu ikishinda unapata matikiti maji