Namfuata ndiyo nitachukua nitakachoona kinanifaaa kwenye safaiaya mfuate na wewe kila mwezi utakua unaingiza ela kama yeye
aya tajiri mtarajiwa
Leta na shikamoo hapa siku nikibutua nikukumbukue kwa upuuzi wakoaya tajiri mtarajiwa
eti sku ukifanya nn 🤣 🤣 🤣 🤣 ! andaa machozi ya kutosha maaana kukuelezea hii movie inavoenda kuisha haitoshi inabidi ujionee mwenyeweNamfuata ndiyo nitachukua nitakachoona kinanifaaa kwenye safai
Leta na shikamoo hapa siku nikibutua nikukumbukue kwa upuuzi wako
Utuliee wewe kwenye maisha unijiita unajua forex ushawahi kutana na mtu Kama MIKE muwazi kila kitu kama lissu vile .eti sku ukifanya nn 🤣 🤣 🤣 🤣 ! andaa machozi ya kutosha maaana kukuelezea hii movie inavoenda kuisha haitoshi inabidi ujionee mwenyewe
🤣 🤣 🤣 ilo swala la mike nshakwambia we fanya, sisi tutaamua tunasafirisha ama tunazikaUtuliee wewe kwenye maisha unijiita unajua forex ushawahi kutana na mtu Kama MIKE muwazi kila kitu kama lissu vile .
Haya cheki loss yake ya juzi hapo
Ndo ukae chini ujiulize kwnini yuko willing kuonesha loss anazopata kitu ambacho ni kigumu kwa wengine
Mi naamini inawezekana kwasababu MIKE kaweza . Kwahiyo issues zako za impossible baki nazo ww
Kwahiyo MIKE analia machozi gani sasa hivi kwenye hiyo movie ya TRADING kama hujui kubali kuwa huna uwezo wa kufanya kikawa kwasababu subconscious yako umeilisha kitu ambacho ni negative toward this issueeti sku ukifanya nn 🤣 🤣 🤣 🤣 ! andaa machozi ya kutosha maaana kukuelezea hii movie inavoenda kuisha haitoshi inabidi ujionee mwenyewe
🤣 🤣 kwamba kuonyesha loss ndo kwamba yuko legit? ivi una akili wewe? sisi tuliodeal na haya mambo miaka ya kutosha sheria ni ile ile, your credible before a trade happens not after a trade happens! anything outside this is pure bullshitKwahiyo MIKE analia machozi gani sasa hivi kwenye hiyo movie ya TRADING kama hujui kubali kuwa huna uwezo wa kufanya kikawa kwasababu subconscious yako umeilisha kitu ambacho ni negative toward this issue
Nakukumbusha tena ukileta ushahidi wowote kuhumu MIKE kuuuza signals, kuseli robot au zile affiliate links kwa mabroker. nitakuona una akili
Kwasababu huwezi kuhimili kupata loss ya 300,00$ ate once then uwe feki
alafu punguza kelele nenda kwa mike utakua kama yeye sawa eeh?Kwahiyo MIKE analia machozi gani sasa hivi kwenye hiyo movie ya TRADING kama hujui kubali kuwa huna uwezo wa kufanya kikawa kwasababu subconscious yako umeilisha kitu ambacho ni negative toward this issue
Nakukumbusha tena ukileta ushahidi wowote kuhumu MIKE kuuuza signals, kuseli robot au zile affiliate links kwa mabroker. nitakuona una akili
Kwasababu huwezi kuhimili kupata loss ya 300,00$ ate once then uwe feki
Kwahiyo MIKE analia machozi gani sasa hivi kwenye hiyo movie ya TRADING kama hujui kubali kuwa huna uwezo wa kufanya kikawa kwasababu subconscious yako umeilisha kitu ambacho ni negative toward this issue
Nakukumbusha tena ukileta ushahidi wowote kuhumu MIKE kuuuza signals, kuseli robot au zile affiliate links kwa mabroker. nitakuona una akili
Kwasababu huwezi kuhimili kupata loss ya 300,00$ ate once then uwe feki
Na nilishakwambia Round hii tunasafirisha ingia Twitter (X) search TRADER MIKE ukipata case yoyote kwamba ni mpigaji share nasi hapa ili tutambue kuwa kumake profit kwa Mt5 haiwezekani. Bila hivyo maana yake unachokihubiri ni matokeo ya imani yako ww binafsi kuwa huwez ila sio kwa wengine🤣 🤣 🤣 ilo swala la mike nshakwambia we fanya, sisi tutaamua tunasafirisha ama tunazika
alafu punguza kelele nenda kwa mike utakua kama yeye sawa eeh?
Huko hata mimi nimejiunga hatozi hata shilling miaaaa
View: https://x.com/tradermike1234/status/1876568182741467281nenda kwa mike utapata hela za kutosha sawa eeh
Yes nitakuwaalafu punguza kelele nenda kwa mike utakua kama yeye sawa eeh?
sasa mike na mm nan anaijua forex zaidi?Na nilishakwambia Round hii tunasafirisha ingia Twitter (X) search TRADER MIKE ukipata case yoyote kwamba ni mpigaji share nasi hapa ili tutambue kuwa kumake profit kwa Mt5 haiwezekani. Bila hivyo maana yake unachokihubiri ni matokeo ya imani yako ww binafsi kuwa huwez ila sio kwa wengine
anhaaa kumbe ulijiunga vp ushapata pesa 🤣 🤣 🤣Huko hata mimi nimejiunga hatozi hata shilling miaaaa
Huko hata mimi nimejiunga hatozi hata shilling miaaaa
Mwambie huyo trader mike atoe investor password Kama yeye ni mwanaume.Yes nitakuwa
Halafu kweli huyu TRADER MIKE juu kabisa POST aliyoweka pinned kwenye mtandao wa X. ukibofya inakupeleka kwenye malipo directly kulipia 149$ sasa kumbe naye mhuni kama wengine kuanzia leo simfati tena maana ananilisha upepo tu kumbee naye JIZI la kutupwa fala yuleMwambie huyo trader mike atoe investor password Kama yeye ni mwanaume.
Huyo anaishi kwa kufundisha watu. Aonyeshe withdrawal iliyoingia Bank.
Ama muulize atoe investor password utaona atakavyokutoa kwenye group.
Huyo nilimchanaga muda Fulani zamani akani block.
Wanataka kondoo ,hizo anazotumia ni mbinu zile zile kuwa sipendi kufundisha Ila ngoja niwasaidie
🤣 🤣 🤣 amna kaka we mfuate utakua tajiri kama yeyeHalafu kweli huyu TRADER MIKE juu kabisa POST aliyoweka pinned kwenye mtandao wa X. ukibofya inakupeleka kwenye malipo directly kulipia 149$ sasa kumbe naye mhuni kama wengine kuanzia leo simfati tena maana ananilisha upepo tu kumbee naye JIZI la kutupwa fala yule
Halafu kweli huyu TRADER MIKE juu kabisa POST aliyoweka pinned kwenye mtandao wa X. ukibofya inakupeleka kwenye malipo directly kulipia 149$ sasa kumbe naye mhuni kama wengine kuanzia leo simfati tena maana ananilisha upepo tu kumbee naye JIZI la kutupwa fala yule
Mkuu nikuombe radhi kwa kukaza fuvu nimegundua naye TRADER MIKE ni mwizi kama majizi mengine ya CCM.