FOREX: Kwa Wale Wanaotumia Templer Kama Broker Wao

FOREX: Kwa Wale Wanaotumia Templer Kama Broker Wao

USD/JPY SELL INANUKIA coz iko kwenye supply zone ukichoraa kwa fibonac unaweza set TP Kwenye asilimia 38 then 61 kwanini kwasabau data za mwisho inaonyesha kuwa resistance inakuja kuwa support LOADING............... kwa kesho

jjjj.JPG
 
Mkuu kwa swing trading na signal za uhakika jaribu kutrade kwenye daily time frame. Hizi time frame za chini zina noise sana na mara nyingi signals zake siyo za uhakika sana kulinganisha na daily timeframe! At least the minimum iwe 4hr timeframe lakini na yenyewe siku hizi imekuwa na noise sana kuliko kipindi cha nyuma! (SESIMI KWAMBA HIZO TIMEFRAME ZA CHINI HUWEZI KUTRADE NA KUPATA PROFIT, HAPANA NASHAURI TU)
We jamaa umenifumbua macho yani hivi 1h,4h kila mara vinagonga stip loss
 
Kwa wale Trader ambao wangependa kumtumia broker Templerfx.

Broker huyu anakuwezesha kuweka PESA na kutoa kwa njia ya M-PESA.

Kujisajili ni rahisi sana kwa kutumia kitambulisho chako cha kupigia kura, namba yako ya simu utakayotumia kuweka na kutoa pesa kwa broker pamoja na E-mail.

Ndani ya saa 72 au chini ya hapo unakuwa na akaunti yako tiyari na kuanza kuitumia.

JISAJILI SASA
Wasiliana na mimi PM kwa msaada zaidi BURE.

TemplerFX | Promo
 
Address ni option sio lazima unaverify km unataka kutumia njia ya bank kufanya transactions zako , ila muhimu ni kuverify identity email na phone number,
Vipi kuhusu ku depost pesa sasa.... maana hizo hatua tatu tayari kwa upande wangu toka jana...
 
Templer ni broker wa hovyo kwenye upande wa customer service, kuweni makini sana. Nimedeposit hela tangu wiki iliyopita kwa kutumia Vodacom il haijasoma.

Kila siku wananizungusha. Wao templer na ipay africa hawajanisaidia chochote na sijapata msaada wowote kutoka templer zaidi ya kupigwa sound tu.

Please kuweni makini na templer hii sio mara ya kwanza kusumbuliwa. Ni broker tunaepaswa kufanya nae kazi kwa jicho la tahadhari kubwa mno.

Mwisho wa siku watanzania tutafute broker makini hawa wakina templer ipo siku tutakuja kusaga meno.
 
Naomba waje wajibu haya malalamiko yako
 
Naomba waje wajibu haya malalamiko yako
Malalamiko yasiyokuwa na ushahidi yanajibiwa vipi mkuu? Pamoja na hayo hamna jambo lisilokuwa na changamoto na tutafaham vipi kama muhusika alifuata utaratibu unaotakiwa wakati watu wengi tunamtumia Templerfx bila matatizo yoyote, Kati ya watu 50 wanaomtumia Templerfx basi ni 3/50 tu wanaolalamika
 
Umejibu vzr mno ,big up tuko pamoja
 
Wanaosema kwamba indicator hazisaidii wamekariri vitabu vya forex. Kama utapata indicators nzuri hasa hizi ambazo ni common au simple (yaani zipo kwenye MT4 au MT5 platforms) na ukajua kuzitumia vizuri na pia unajua mbinu za kuagalia strength ya trend utapata mafanikio katika forex trading. Hakuna strategy hata moja ambayo ni 100% correct yaani yenyewe ni ku win tu. Hata price action yenyewe sometimes inachemka. The only difference kati ya price action na good indicators ni kwamba mwenye price action atakutangulia kidogo kumake profit kwa sababu indicators zote zinachelewa kuonyesha signals za kubuy au kusell compared to price action!

Na wakati mwingine inatokea price action inashindwa kukupa clue au ishara yoyote ya kusell au kubuy lakini indicator inakuonyesha na kweli unamake profit. Ni vizuri zaidi ukizijua strategy hizi mbili vizuri in case moja inashindwa kukupata signal ya uhakika then unaangalia nyingine inasemaje! (AM NOT A TECHNICAL ANALYSIS TRADER). MI ZANGU NI COLLABO YA PRICE ACTION + INDICATOR (A VERY SIMPLE ONE BUT FRUITFUL-MOVING AVERAGES)
 
Back
Top Bottom