Adimu
JF-Expert Member
- Aug 22, 2013
- 678
- 308
Kama kiasi ganiunaweza kujifunza mwenyewe ndio maana kila kitu kiko wazi, na kuna watu wana fundisha bure, illa mimi kwangu ukija lazima niku chaji kiasi
Kama kiasi ganiunaweza kujifunza mwenyewe ndio maana kila kitu kiko wazi, na kuna watu wana fundisha bure, illa mimi kwangu ukija lazima niku chaji kiasi
Kama kiasi gani
mkuu nakukubali sana uwe na moyo huo huouko mkoa gani.
Usijali tuko kwa ajili ya kusaidiana,mkuu nakukubali sana uwe na moyo huo huo
naomba nikufate inbox kwanza, kuna indicator umenipa week ilio pita nataka uniwekee tena ya news, na entry point .
Pia uwaambie kuwa ni market makerHellow traders!
Kwa wale wanaoumizwa na makato ya benk pale unapoweka hela na kutoa kutoka kwa broker , nawashauri wamtumie huyu broker Templer FX Trader , yeye anakubali transactions kwa njia ya M-PESA means unadeposit na kuwithdraw kwa M-pesa bila kupitia Bank, hafu no makato ... Ukiwa na $50 kwa broker unahitaji kuzitoa utapokea kwa kila dola 1 thamani ya Tsh 2,230/= so piga hesabu $50 zidisha kwa 2230 utapokea Tsh 111,500/= .. Tofauti na ukipitia bank , ,, mfano bank ya FNB Ukihitaji uweke kwa broker isome $100 inabidi udeposit maxmum $125 , hapo kwa mt4 yako itaonekana $100,,, hyo inayobaki ni makato pamoja na exchange rate yao kwa siku hyo,,
Bank ya equity wanakata km Tsh 18,000/= ($8.1) kwa transaction yoyote utakayoifanya kwenda na kutoka kwa broker,,
Haya makato unaweza kuyakwepa kwa kumtumia huyu broker Templer FX Trader ambapo transactions zote utazifanya kwa njia ya M-pesa bila makato yoyote na kwa muda mfupi.
Pia minimum deposit ni $1 pia minimum withdraw ni $1 kwa M-pesa.
Hasumbui kuverify documents zako inachukua around 24hours utakuwa verified . unachohitaji kuwa nacho ni kitambulisho kimojawapo kati ya hivi (cha kura,uraia,passport, au lessen)
Unaweza kumcheck kupitia website yake hii Templer FX Trader then unaingia open account , .. Huyu ni broker mzur kwa wale wanasumbuka na mitaji , pia hata km huna akaunt bank you can trade forex bila matatizo........
Hawa wana mobile money??1. HotForex
2. ForexTime
3. XM
Hiyo ipo kwa broker wengi , mpaka sasa namtumia Templerfx na nafurahia huduma zake kuliko alivyokuwa Jp Market na wenginePia uwaambie kuwa ni market maker
HawanaHawa wana mobile money??
Hela unawekaje mkuu...Km ni broker anayetumia mobile money bila usumbufu mwingi ni Templer FX Trader
Minimum deposit ni $1 sawa na shillings 2,240/=
Pia hana commission
Kwa kweli hawajuiWe market maker huwajui , hebu katrade na XM ndo utajua market maker yupoje , sio unakurupuka tu mzee , , Broker kutokuwa ECN weng mmekaririshwa kuwa ni market maker ,,, wapo brokers ni ECN Lakn pia ni market maker inategemea we unataka akaunti yenye sifa gan,
80% bongo wanamtumia Templer na wanapiga faida km kawaida jiulize kwann?
Sijakurupuka mzee..Namjua vzur templer nimemtumia miez 6 sasa...naomba niishie hapa kiongoz.We market maker huwajui , hebu katrade na XM ndo utajua market maker yupoje , sio unakurupuka tu mzee , , Broker kutokuwa ECN weng mmekaririshwa kuwa ni market maker ,,, wapo brokers ni ECN Lakn pia ni market maker inategemea we unataka akaunti yenye sifa gan,
80% bongo wanamtumia Templer na wanapiga faida km kawaida jiulize kwann?
Ndio nataka kufungua mkuu...Ushafungua live account?
kabla huja fungua hakikisha unapata bonus ya dollar 30 kisha unafungua account una weka kwa njia ya mpesa pitia hii link ya jamaa >>>TemplerFX | Promo achana nahizo ambazo ni nguu kupata bonusNdio nataka kufungua mkuu...
So nilikuwa nahitaji ushauri ni vipi naweka hela kwenye account
Nimekuelewa mkuukabla huja fungua hakikisha unapata bonus ya dollar 30 kisha unafungua account una weka kwa njia ya mpesa pitia hii link ya jamaa >>>TemplerFX | Promo
Maelezo yako nineyaelewa vyema mkuu...Km una live acc tayar nenda kwenye members area yako then fuata maelezo katika picha ,, hiyo picha ya tatu ni mfano tu Wa kujaza taarifa , kwanza unaanza kuselect acc ya kudeposit, pili unaselect system ya kudeposit ambayo ni IPAY AFRICA , hafu unachagua method ya kudeposit ambayo ni MPESA TANZANIA , then unaingia amount katka rate ya $ , km ni elfu 50 nafikiri utaandika kitu km $22 hivi , baada ya hapo utaona kitufe cha blue kimeandikwa DEPOSIT Na kiasi cha hela katka shilling, utaclick hapo baada ya hapo yatakuja maelezo ya tafadhar zingatia maelezo watakayokupa , then utaenda kwenye menu ya MPESA Kwa kupiga *150*00# utakamilisha taratibu zote walizokuambia. ..
Nichek ukikwamaView attachment 777869View attachment 777870View attachment 777871
Mkuuu na mm naomba unielekeze nianzeUsijali tuko kwa ajili ya kusaidiana,
Mkuuu jinsi ya kufungua account inakuaje naomba msaada wakoHellow traders!
Kwa wale wanaoumizwa na makato ya benk pale unapoweka hela na kutoa kutoka kwa broker , nawashauri wamtumie huyu broker Templer FX Trader , yeye anakubali transactions kwa njia ya M-PESA means unadeposit na kuwithdraw kwa M-pesa bila kupitia Bank, hafu no makato ... Ukiwa na $50 kwa broker unahitaji kuzitoa utapokea kwa kila dola 1 thamani ya Tsh 2,230/= so piga hesabu $50 zidisha kwa 2230 utapokea Tsh 111,500/= .. Tofauti na ukipitia bank , ,, mfano bank ya FNB Ukihitaji uweke kwa broker isome $100 inabidi udeposit maxmum $125 , hapo kwa mt4 yako itaonekana $100,,, hyo inayobaki ni makato pamoja na exchange rate yao kwa siku hyo,,
Bank ya equity wanakata km Tsh 18,000/= ($8.1) kwa transaction yoyote utakayoifanya kwenda na kutoka kwa broker,,
Haya makato unaweza kuyakwepa kwa kumtumia huyu broker Templer FX Trader ambapo transactions zote utazifanya kwa njia ya M-pesa bila makato yoyote na kwa muda mfupi.
Pia minimum deposit ni $1 pia minimum withdraw ni $1 kwa M-pesa.
Hasumbui kuverify documents zako inachukua around 24hours utakuwa verified . unachohitaji kuwa nacho ni kitambulisho kimojawapo kati ya hivi (cha kura,uraia,passport, au lessen)
Unaweza kumcheck kupitia website yake hii Templer FX Trader then unaingia open account , .. Huyu ni broker mzur kwa wale wanasumbuka na mitaji , pia hata km huna akaunt bank you can trade forex bila matatizo........
Asa mkuu biashara baada ya apo unakuwa unaifanyaje mkuuKm una live acc tayar nenda kwenye members area yako then fuata maelezo katika picha ,, hiyo picha ya tatu ni mfano tu Wa kujaza taarifa , kwanza unaanza kuselect acc ya kudeposit, pili unaselect system ya kudeposit ambayo ni IPAY AFRICA , hafu unachagua method ya kudeposit ambayo ni MPESA TANZANIA , then unaingia amount katka rate ya $ , km ni elfu 50 nafikiri utaandika kitu km $22 hivi , baada ya hapo utaona kitufe cha blue kimeandikwa DEPOSIT Na kiasi cha hela katka shilling, utaclick hapo baada ya hapo yatakuja maelezo ya tafadhar zingatia maelezo watakayokupa , then utaenda kwenye menu ya MPESA Kwa kupiga *150*00# utakamilisha taratibu zote walizokuambia. ..
Nichek ukikwamaView attachment 777869View attachment 777870View attachment 777871
Kati ya hao ni nani mkuu??Iko sawa hyo mkuu