FOREX: Kwa Wale Wanaotumia Templer Kama Broker Wao

FOREX: Kwa Wale Wanaotumia Templer Kama Broker Wao

Zote nilizokuambia hapo ni real acc , sema zinatofautiana , Kama wameshaverify ID yako fungua live universal account ..
Sawa sawa mkuu na kuna ID tofouti na hii ya email maana kwa upande wangu kwenye email yangu ID wameniambia ni email so nikija kwa hizo nashindwa kuweka ID....
 
Ulivyoopen live account ulipewa username na pasword,ndo uitumie mkuu
Nimewapa detail za voter card wameniambia nisubili baada ya masaa 72 so after verification nitaweza trade live ama kuna kitu kingine cha kufanya in order to be verified???
 
Kumbe ulikuwa bado,Then wait tu mkuu
Tayari sasa kwenye address wanataka document mbili ni zipi hizo??
Screenshot_20180515-111751.jpg


Na pia kwenye upande wa card verification sijaelewa maana nataka kutumia huduma ya M Pesa mkuu
 
Kwa wale wanaohitaji kupata training mahsusi kabisa itakuwa mwezi wa sita join WhatsApp group kwa kupata updates za maandalizi na kupata kumfahamu mentor husika VFI Forex Tanzania
 
Hellow traders!
Kwa wale wanaoumizwa na makato ya benk pale unapoweka hela na kutoa kutoka kwa broker , nawashauri wamtumie huyu broker Templer FX Trader , yeye anakubali transactions kwa njia ya M-PESA means unadeposit na kuwithdraw kwa M-pesa bila kupitia Bank, hafu no makato ... Ukiwa na $50 kwa broker unahitaji kuzitoa utapokea kwa kila dola 1 thamani ya Tsh 2,230/= so piga hesabu $50 zidisha kwa 2230 utapokea Tsh 111,500/= .. Tofauti na ukipitia bank , ,, mfano bank ya FNB Ukihitaji uweke kwa broker isome $100 inabidi udeposit maxmum $125 , hapo kwa mt4 yako itaonekana $100,,, hyo inayobaki ni makato pamoja na exchange rate yao kwa siku hyo,,

Bank ya equity wanakata km Tsh 18,000/= ($8.1) kwa transaction yoyote utakayoifanya kwenda na kutoka kwa broker,,

Haya makato unaweza kuyakwepa kwa kumtumia huyu broker Templer FX Trader ambapo transactions zote utazifanya kwa njia ya M-pesa bila makato yoyote na kwa muda mfupi.
Pia minimum deposit ni $1 pia minimum withdraw ni $1 kwa M-pesa.
Hasumbui kuverify documents zako inachukua around 24hours utakuwa verified . unachohitaji kuwa nacho ni kitambulisho kimojawapo kati ya hivi (cha kura,uraia,passport, au lessen)
Unaweza kumcheck kupitia website yake hii Templer FX Trader then unaingia open account , .. Huyu ni broker mzur kwa wale wanasumbuka na mitaji , pia hata km huna akaunt bank you can trade forex bila matatizo........
Asante kwa kutushirikisha, na mm ngoja nimfatilie naona anaweza kunifaa.
 
Jifunze kwanza basic ya forex , soma vitabu and other materials , ... Nikijibu swal lako nitakuwa nimekupiga pindi ambalo wengine wanalipa laki 2 na ushenz...

Soma vitabu vipo vingi sana tena free
Nimesoma kidogo thread kazaa humu ndani kuna kitu nimejifunza mkuu sasa naweza kufanya iyo biashara
 
Back
Top Bottom