Mkuu kwa swing trading na signal za uhakika jaribu kutrade kwenye daily time frame. Hizi time frame za chini zina noise sana na mara nyingi signals zake siyo za uhakika sana kulinganisha na daily timeframe! At least the minimum iwe 4hr timeframe lakini na yenyewe siku hizi imekuwa na noise sana kuliko kipindi cha nyuma! (SESIMI KWAMBA HIZO TIMEFRAME ZA CHINI HUWEZI KUTRADE NA KUPATA PROFIT, HAPANA NASHAURI TU)TARATIBU KAMA KINYONGA
View attachment 777032
hapna mimi ni 1 hr inanifa vizur tu sija haja ya 4hr or day mana mara nyingi niko MA simple, so nikitaka ku trade huwa naanza kuangalia daily then 4hr ndo narudi kwangu kwa 1 hr.Mkuu kwa swing trading na signal za uhakika jaribu kutrade kwenye daily time frame. Hizi time frame za chini zina noise sana na mara nyingi signals zake siyo za uhakika sana kulinganisha na daily timeframe! At least the minimum iwe 4hr timeframe lakini na yenyewe siku hizi imekuwa na noise sana kuliko kipindi cha nyuma! (SESIMI KWAMBA HIZO TIMEFRAME ZA CHINI HUWEZI KUTRADE NA KUPATA PROFIT, HAPANA NASHAURI TU)
uatumia technc gani ku trade i mean strategy yakoNimeshatrade live
OK. happy trading!hapna mimi ni 1 hr inanifa vizur tu sija haja ya 4hr or day mana mara nyingi niko MA simple, so nikitaka ku trade huwa naanza kuangalia daily then 4hr ndo narudi kwangu kwa 1 hr.
mbona mi kwangu io sawa tu,View attachment 777044
asante sana mkuu maana amesema ameanza tokea mwaka jana nov hadi leo ukose cha kusemaumeulizwa umefanikiwa kwa % ngapi naona swali umelipita kama hulioni
sky walker
unaenda slowMwanzoni niliblow account ya $100, nikadeposit tena $89.02 sawa na laki 2 za kitanzania na sasa nina $197. Sasa hapo unaweza kukokotoa asilimia
sawaNatumia price action, huwa natumia naked charts kufanya analysis
hapana sianzi na tradeVp ulishatrade au ndo unataka kuanza?
nilikuwa tickmill sema baada ya kuunguza account nika poa kwanza na huyuu >>TemplerFX | Promo ana bonus ya 30 $Broker yupi maana nataka kuachana na JP markets.
Kwa wale Trader ambao wangependa kumtumia broker Templerfx.Mm nataka kujiunga na iyo FOREX nipeni mwongozo wadau
unaweza kujifunza mwenyewe ndio maana kila kitu kiko wazi, na kuna watu wana fundisha bure, illa mimi kwangu ukija lazima niku chaji kiasiHii forex huwa najifunza tu mwenyewe mwenyewe, sijajua ntapataje wa kunicoach, au wadau mlijifunza wenyewe pia
Unaeza jifunza mwenyew..sema it will take you a time..tofaut ukiwa na mwalimuHii forex huwa najifunza tu mwenyewe mwenyewe, sijajua ntapataje wa kunicoach, au wadau mlijifunza wenyewe pia