FOREX: Kwa Wale Wanaotumia Templer Kama Broker Wao

FOREX: Kwa Wale Wanaotumia Templer Kama Broker Wao

Kwa wale Trader ambao wangependa kumtumia broker Templerfx.

Broker huyu anakuwezesha kuweka PESA na kutoa kwa njia ya M-PESA.

Kujisajili ni rahisi sana kwa kutumia kitambulisho chako cha kupigia kura, namba yako ya simu utakayotumia kuweka na kutoa pesa kwa broker pamoja na E-mail.

Ni broker pekee ambae anayekuwezesha kuweka kiasi kidogo kuanzia dollar ($) 1 kwenye akaunti yako ,pia vilevile ana huduma ya haraka sana wakati wa kutoa pesa yako, dakika 15-30 tiyari pesa inakuwa imeshatumwa kwenye account yako.

BAADA YA KUJISAJILI

Ndani ya saa 72 au chini ya hapo unakuwa na akaunti yako tiyari na kuanza kuitumia.

JISAJILI SASA
Wasiliana na mimi PM kwa msaada zaidi BURE.

TemplerFX | Promo
 
PALE RAMANI INAVYO ENDA UNAVYO TAKA safi sana

32498199_1919497441394462_8107357615719186432_n.jpg
 
Hellow traders!
Kwa wale wanaoumizwa na makato ya benk pale unapoweka hela na kutoa kutoka kwa broker , nawashauri wamtumie huyu broker Templer FX Trader , yeye anakubali transactions kwa njia ya M-PESA means unadeposit na kuwithdraw kwa M-pesa bila kupitia Bank, hafu no makato ... Ukiwa na $50 kwa broker unahitaji kuzitoa utapokea kwa kila dola 1 thamani ya Tsh 2,230/= so piga hesabu $50 zidisha kwa 2230 utapokea Tsh 111,500/= .. Tofauti na ukipitia bank , ,, mfano bank ya FNB Ukihitaji uweke kwa broker isome $100 inabidi udeposit maxmum $125 , hapo kwa mt4 yako itaonekana $100,,, hyo inayobaki ni makato pamoja na exchange rate yao kwa siku hyo,,

Bank ya equity wanakata km Tsh 18,000/= ($8.1) kwa transaction yoyote utakayoifanya kwenda na kutoka kwa broker,,

Haya makato unaweza kuyakwepa kwa kumtumia huyu broker Templer FX Trader ambapo transactions zote utazifanya kwa njia ya M-pesa bila makato yoyote na kwa muda mfupi.
Pia minimum deposit ni $1 pia minimum withdraw ni $1 kwa M-pesa.
Hasumbui kuverify documents zako inachukua around 24hours utakuwa verified . unachohitaji kuwa nacho ni kitambulisho kimojawapo kati ya hivi (cha kura,uraia,passport, au lessen)
Unaweza kumcheck kupitia website yake hii Templer FX Trader then unaingia open account , .. Huyu ni broker mzur kwa wale wanasumbuka na mitaji , pia hata km huna akaunt bank you can trade forex bila matatizo........
Mkuu samahani naona una idea na hiki kitu...Mimi sijajiunga na forex na the way nilivyosoma humu nimehamasika...pls naomba unijuze vigezo vya awali ili niweze kujiunga
 
Mkuu samahani naona una idea na hiki kitu...Mimi sijajiunga na forex na the way nilivyosoma humu nimehamasika...pls naomba unijuze vigezo vya awali ili niweze kujiunga
soma na ujue forex ni nini. kisha anza na demo tafuta mtu mwenye ujuzi zaidi ili uweze elewa kwa haraka, unaweza jiunga kwa kupitia broker huyu TemplerFX | Promo ila ukiwa na ujuzi baadae unaweza chagua yoyote unae mpenda
 
Templer ni broker wa hovyo kwenye upande wa customer service, kuweni makini sana. Nimedeposit hela tangu wiki iliyopita kwa kutumia Vodacom il haijasoma.


Kila siku wananizungusha. Wao templer na ipay africa hawajanisaidia chochote na sijapata msaada wowote kutoka templer zaidi ya kupigwa sound tu.


Please kuweni makini na templer hii sio mara ya kwanza kusumbuliwa. Ni broker tunaepaswa kufanya nae kazi kwa jicho la tahadhari kubwa mno.


Mwisho wa siku watanzania tutafute broker makini hawa wakina templer ipo siku tutakuja kusaga meno.
Hapana, mbona mimi nimekutwa na matatizo ya hapa na pale na wanasolve on time. Mojawapo ya tatizo niliwithdraw 500$ lakini e-lipa akanirushia only 250$ nilivyowambia templer wakatafuta local agent muda huo huo nikarushiwa. Na pia wapo fast sana kurespond na kusolve issues. Labda sijui kwako boss
 
JINSI YA KUPATA $30 NO DEPOSIT BONUS YA TEMPLER.

huenda ushatumia demo lakini uko na tatizo la mtaji... Au wengine tumeunguza akaunti, jinsi ya kuanza tena ni ngumu, hasa linapokuja suala la mtaji....

ANGALIZO:
Bonus hii ni kwa wateja wapya tu, kama ulishakuwa na akaunti ya Templer na ukaiwekea pesa, hautoweza kuipata, labda ufungue akaunt tofauti.

HATUA ZA KUFUATA:
1. Fungua akaunti mpya hapa:

[emoji117]TemplerFX | Promo

Templer FX | Start with $30 No deposit Bonus

2. Verify email, namba ya simu (ni bora iwe voda, kwa ajili ya kutoa faida na kuendesha akaunti) na utambulisho wako.

3. Nenda MENU > OPEN ACCOUNT > chagua LIVE UNIVERSALFX > ok

4. Nenda Menu > Bonus > chagua akaunti yako ya universalFX, WEKA REDEEM CODE:

*NDB30JN42017*

Then submit.

5. Utapokea $30 katika akaunti uliyoifungua, mara nyingi within an hour.

6. Kama huna MT4 ,download hapa:

MetaTrader 4 – Applications Android sur Google Play

Start Trading!!

Jisajili hapa upate bonus kirahisi

[emoji117]TemplerFX | Promo

Ukihitaji msaada wowote, nicheck inbox
 
Kwa wale wanaohitaj bonus za kutrade n kuweza kudraw profit wanayoipata pm me i ll direct u namna ya kuipata free kabisa hakuna charges yyte ile
 
Jukwaa la science, tech na gadget unaleta mambo ya forex mzee kuwa serious hata kidogo japo unatafuta kamisheni.
JamiiForums
 
JINSI YA KUPATA $30 NO DEPOSIT BONUS YA TEMPLER.

huenda ushatumia demo lakini uko na tatizo la mtaji... Au wengine tumeunguza akaunti, jinsi ya kuanza tena ni ngumu, hasa linapokuja suala la mtaji....

ANGALIZO:
Bonus hii ni kwa wateja wapya tu, kama ulishakuwa na akaunti ya Templer na ukaiwekea pesa, hautoweza kuipata, labda ufungue akaunt tofauti.

HATUA ZA KUFUATA:
1. Fungua akaunti mpya hapa:

[emoji117]TemplerFX | Promo

Templer FX | Start with $30 No deposit Bonus

2. Verify email, namba ya simu (ni bora iwe voda, kwa ajili ya kutoa faida na kuendesha akaunti) na utambulisho wako.

3. Nenda MENU > OPEN ACCOUNT > chagua LIVE UNIVERSALFX > ok

4. Nenda Menu > Bonus > chagua akaunti yako ya universalFX, WEKA REDEEM CODE:

*NDB30JN42017*

Then submit.

5. Utapokea $30 katika akaunti uliyoifungua, mara nyingi within an hour.

6. Kama huna MT4 ,download hapa:

MetaTrader 4 – Applications Android sur Google Play

Start Trading!!

Jisajili hapa upate bonus kirahisi

[emoji117]TemplerFX | Promo

Ukihitaji msaada wowote, nicheck inbox
Hiyo $30 unaweza ukawithdraw?
 
Kwa wale wanaohitaj bonus za kutrade n kuweza kudraw profit wanayoipata pm me i ll direct u namna ya kuipata free kabisa hakuna charges yyte ile
mkuu acha kudanganya watu wewe maisha hayaendi hivyo
 
JINSI YA KUPATA $30 NO DEPOSIT BONUS YA TEMPLER.

huenda ushatumia demo lakini uko na tatizo la mtaji... Au wengine tumeunguza akaunti, jinsi ya kuanza tena ni ngumu, hasa linapokuja suala la mtaji....

ANGALIZO:
Bonus hii ni kwa wateja wapya tu, kama ulishakuwa na akaunti ya Templer na ukaiwekea pesa, hautoweza kuipata, labda ufungue akaunt tofauti.

HATUA ZA KUFUATA:
1. Fungua akaunti mpya hapa:

[emoji117]TemplerFX | Promo

Templer FX | Start with $30 No deposit Bonus

2. Verify email, namba ya simu (ni bora iwe voda, kwa ajili ya kutoa faida na kuendesha akaunti) na utambulisho wako.

3. Nenda MENU > OPEN ACCOUNT > chagua LIVE UNIVERSALFX > ok

4. Nenda Menu > Bonus > chagua akaunti yako ya universalFX, WEKA REDEEM CODE:

*NDB30JN42017*

Then submit.

5. Utapokea $30 katika akaunti uliyoifungua, mara nyingi within an hour.

6. Kama huna MT4 ,download hapa:

MetaTrader 4 – Applications Android sur Google Play

Start Trading!!

Jisajili hapa upate bonus kirahisi

[emoji117]TemplerFX | Promo

Ukihitaji msaada wowote, nicheck inbox
Niki make profit naitoa ile faida au kuna utaratibu mwingine chif?
 
Niki make profit naitoa ile faida au kuna utaratibu mwingine chif?
unaitoa ndio ila kwa utaratibu wa ku deposit na kuomba bonus ambayo itakuwa ni zaidi ya dollar 150 na wewe utapewa 100 yako
 
Back
Top Bottom