Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Unajua mkuu, husemwa kuwa market makers wana trade against their customers - wew na mim. True ecn broker husemwa anapenda customers wake washinde Na hasa anaishi kwa commission. Ukipata zaid nayeye ndo hupata, zaidi.

Sasa MM anaenda kinyume na sisi halafu yeye ndo ana i control hiyo metatrader system. Unategemea nin?

Any way concept iko katika kumpiga MM kwenye game yake. Yaani, yeye ana kila kitu ila bado umpige. Ndo hivyo

Sijachunguza zaid maana niliona kama minimum deposit ya true ecn ni kubwa sana kwangu, so I left. Ukichunguza vya kutosha utawajua tu. Tembea tembea mitandaoni

Saa hizi najipanga upya kuhangaika na akina MM.

Wako wengi wanajifanya ni true ecn lakin hamna kitu. Ni feki tu

Cha muhimu ni kupata genuine MM ambaye ni properly regulated kwenye nchi za maana. Tafuta rekodi na skendo zake. Wenzetu wazungu wanabwabwaja sana wakipigwa. Itakusaidia

Kuna kesi imewahi kufunguliwa UK dhidi ya reputable MM mmoja. Na mara ingine utasikia hata OANDA anashutumiwa kwa wrong doings. Yaani ndo hivyo. Take care
Bata ukimchunguza sana, hutoweza kumla....

Ndo linalotokea kwako...
 
Umeongea mengi ya msingi, lakn pia umekosea mengi...

Inaonekana kwako anayemiliki genge la nyanya hana maana, na afunge tu biashara, mana dabaga tayari wana tomato sauce!!!! Yan n sawa na kusema pub zifungwe sbb kuna maduka ya jumla ya bia!

Unapotukandia sisi, na kumsifia Soros, kwamba ana miaka mingi katika game, unasahau kitu kimoja kikubwa...... Hata yeye alianziaga huku, hata yeye alimwambia mtu, "jana nimesikia kuhusu stock markets", hata yeye alikuwaga mwanafunzi, newbie...

Hakuna aliyezaliwa anajua, Labda kama Soros atakuwa wa kwanza!

Mkuu simkandii mtu. Ni kuwa kuna kazi ya kufanya. Ni vizuri tukipeana a be che, au sio?

Nataman kusikia ushuhuda wa mtu aliye fanikiwa tangia tujitose kwenye hii business. Au ambaye kula na kuliwa vime balance
 
Tp .22249
hited nimeamka na ya kahawa
Screenshot_20180425-070536.png
 
Siuna ona mkuu nimekupatia pesa,,mimi mwenyewe nimeamka hvyo hvyo mkuu.
Sema nimechelewa kuwajulisha tena mapema.

Ok mida mida nitawapa tena.
nilikua Niki analyze nikaingia Jeff nkakuta umeshatupia nikakazia tp Eu is my pair all the time
 
Mkuu simkandii mtu. Ni kuwa kuna kazi ya kufanya. Ni vizuri tukipeana a be che, au sio?

Nataman kusikia ushuhuda wa mtu aliye fanikiwa tangia tujitose kwenye hii business. Au ambaye kula na kuliwa vime balance
Kula na kuliwa ni lzm,la msingi wins zako zizidi losses zako.
 
BROKERS WITH MOBILE MONEY DEPOSIT/WITHDRAWS.

Ukiachana na Templer ( https://templerfx.com ), kuna broker mpya kutoka South ambaye naye amekuja na staili hii ya Mobile Money Deposit/Withdraws.

Broker huyu anayeitwa CIFX Markets ( https://secure.cifxmarkets.com/live-account-register), ameenda mbali zaidi, kwa kuruhusu deposits na withdraws kupitia mitandao tofauti. Kwa sasa anasupport Vodacom Mpesa, Tigo pesa na Airtel money.

Lakini tofauti na Templer, huyu ana minimum amount ya $200.

Kikubwa anachomzidi templer ni spreads.... Hapa, ni hatari!
I hope I'll get to use this broker...

View attachment 758113View attachment 758114
 
Wazo la kwanza
Protocol yangu hua haibadiliki milele. Hahaa! Wanaonifahamu wananifahamu vizuri, hua sijibu PM ya mtu yoyote, no matter who you are. Kama ulishawahi kunitext PM kuhusu mada ninazopost na nikakujibu positively basi jua wewe ni malaika. Binafsi Naamini katika kufanya kazi in transparency, clearness and clarity. Hakuna kitu cha kuficha, kama kuna chochote weka hapa jukwaani kila mtu aone, ajifunze, aelimike na akosoe pia.

Huu msimamo mzuri lakini mbaya pia. Kwa sababu mtu anaweza kutaka kujifunza kwako privately.
 
Hii biashara haina tofauti na Gambling aiseeh wengi wataumia kuliko watakaonufaika, the easy money kwenye hii betting ni pesa ya training, kuuza signal,indicators na pesa za commissions kupitia IB links. kwa wale wanaojiita retail traders wengi wao ni maumivu maana wao sio movers wa market.
 
Uko sahihi sana... Sasa kama wewe wajua upande papa wanaelekea, na kila cku unaona waonewa... Why don't you swim with the sharks?
Unasubiri movers wafanye yao, and you move with them!!!
 
Haya ni maneno ya mtu aliyeshindwa alaf unaonekana umeshashindwa tayari, forex is not for everyone
 
More links

FEW IMPORTANT LINKS:

FOREX TRADERS OF TZ:
Forex Traders Tz

FREE FOREX CLASSES:
SIMPLE FOREX STRATEGY GROUP

FREE FOREX BOOKS:
FX Trading Books

FREE FOREX SIGNALS:
+255MillionairesFX

FREE FOREX SIGNALS:
FreeForexSignals

TEMPLER BROKER:
(Deposit & Withdraw with Voda)
http://secure.templerfx.com

CIFXMARKETS
(Deposit & withdraw with voda/tigo/airtel)
http://secure.cifxmarkets.com

PEPPERSTONE BROKER:
Pepperstone - Australia's Fastest Forex Broker

TICKMILL BROKER:
Tickmill - Trade With First Class Forex Broker

FBS $50 NO DEPOSIT BONUS :
FBS $50 Welcome Bonus - Forex

HOW TO USE DUSUPAY
(TICKMILL MOBILE FUNDING METHOD):

FOREX VIDEO: THE SIGNS:
 
Uko sahihi sana... Sasa kama wewe wajua upande papa wanaelekea, na kila cku unaona waonewa... Why don't you swim with the sharks?
Unasubiri movers wafanye yao, and you move with them!!!
hawezi pambana nao aungane nao yani katika forex usiingilie wakati wanapigana unaweza be chopped yan fyaaaaa we kuwa shabiki pale mmoja ameshinda ungana nae simple. ila mpaka uhakikishe keshashinda( Patience and confirmation
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom