Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
FXopen au instaforex ni wazuri, ila Instaforex have complex procedures za acc verification
3851ddbabba6418170133b6ab728f560.jpg

Nataka kufungua demo akaunt kwa metatrader for pc. Ni broker gan wenzangu mwamtumia?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi niko Mwanza, nakomaa peke yangu sina hata wa kushare nae, kuna group la whatsap kwenye thread hii, admin nampataje ili anisajiri?...hata hivo ngoma inaenda japo nina mapungufu..
The way inavyopanda ghafla unaweza pata presha hasa kama ikiwa against you hahaha!!

Shukuru mungu hii haijadumu mda mrefu!! Kuna kipindi rais wa bank ya europe alitoa speech yan euro ilopanda kama inakimbizwa.

Mbaya zaidi haikua kwa mda mfupi ili dumu kama wiki kadhaa. Hii ya leo ingekua kama hiyo ya kipindi hicho mda huu ungekua unalia duuuhh!!

Jitahidi kufwatilia news. Sometimes pakiwa na major news realeses huwaga sio mda mzuri sana ku trade maana unaweza pata loss kubwa au faida kubwa!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
pamoja mkuu...nimekuelewa vema!! so unanishaur niizngatie trading ya 5mnt or 15mts cyo?
ofcourse yes...hata 4hrs, Daily kama upo vzr. Lakini Weekly na Monthly kwanza inabidi uwe na Margin ya kueleweka mana pullbacks na rally za katikati hapo zitakutoa nje tu. Pia uwe na knowledge ya kutosha. infact unaweza trade long-term ila kwa newbie its not appropriate at all.
long-term kwako itumie kutafuta key technical levels then unarudi intra-day/short-term kutrade.
 
Mi niko Mwanza, nakomaa peke yangu sina hata wa kushare nae, kuna group la whatsap kwenye thread hii, admin nampataje ili anisajiri?...hata hivo ngoma inaenda japo nina mapungufu..
Hata messi mwenyewe japo ni moja ya wachezaji bora lakin anamapungufu maana hayuko vyema kwenye kutumia right leg...likewise cr7!!!

Hamna asiye na mapungufu mkuu!! Tunajitahidi hivyo hivyo!!

Kuhusu group kuna jamaa anaitwa Proffesor nadhan atakuunga...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiki ndicho kilichonipata Leo kwenye news za CPI. Nimeunguza akaunti yangu ya demo, ingukuwa real do sijui ingekuwaje?

Kilichonikost nilifungua positions nyingi about 3 minutes b4 news are released for the hope that the market we will go in my favor, nikaambulia patupu na sikuweka stop loses wala TP. Ndugu zangu ingawa ni demo lkn akili imenikaa sawa sasa hivi.

I need to learn how to properly trade news with risk management incorporated.

23843595c9ec853fa0f58bf045b5d849.jpg

9df111684dc27d0bad8d04c4b831c451.jpg

Pole, naona tunajifunza the hardway, but one of these days tutafanya vyema! Sio vzr sana ku trade ule muda news inakuwa released, ni vyema ukafunga pisition.... then after news u join the train. What gives account to fundamental analysisis is the "the market reaction to news and not the news itself". mana sio zote zinakuja as you expected! Lakini pia ku trade bila stop-loss ni sawa kuogelea katikati ya Indician ocean bila "life saver". ukiishiwa nguvu unaenda kukutana na "the creator" haraka sana hahaha. pamoja Mwana wa Ngurumo
 
Duuuh umenikumbusha mbali sana!!!

Sasa hii ndio inaitwa forex mkuu!! Pole sana!! Jiulize kama demo acc imekuma ingekua real acc ungefanyaje??...

Hapo naona...

1. Kosa kubwa ulifanya ni kufungua positions nyingi zinazorun katika loss!! Hili ni kosa kubwa mkuu...na kiasi kikubwa limepelekea kuchoma acc yako!!!

2. Hukutumia stop loss!! Kwa ushauri tu, hata kama hukuweka ila unapoona kuna major news relieses kama unaona hiyo pair itadhurika ni vyema unge modify position na kuweka stop loss mapema!!

3. Over trading. Jua unapofungua trades nyingi au unapotrade mara nyingi per time ndio unajiweka kwenye risk!

4. Overconfidence. Ulifungua positions nyingi ukiwa unaimani kwamba zitakua on your favor na bahati mbaya haikua hivyo!!

5. Alafu kua naimani soko litaenda on your favor after news reliese ni kosa pia. Maana huwezi kuwa so certain how the market is going to react mkuu!!!

Nadhani hilo somo ulilofundishwa na "market" usingeweza jifunza sehem yoyote except thru that experience!!

Usikimbilie kufungua demo acc ingine. Tulia jiulize ulikosea wapi then jifunze kupitia vitabu...

Nadhan siku ukiambiwa kuunguza account utaelewa how it feels like!! Jua asilimia kubwa ya traders washaunguza acc tena real acc na sio demo!!

Zaidi ya yote, kuwa makin na major economic news releases sometimes ni vyema kukaa pemben kwa usalama wako!! Huwa zina nguvu sana na unaweza pata loss kibwa sana au faida kubwa sana. So its up to you to decide!!

Dont feel bad!! Japo ni demo, ila pole sana na karibu kwenye ulimwengu wa forex!!

Ivi kama ukifunga alafu after news unaona soko limeenda on your favor si utajilaum sana mkuu!!

Sometimes hata usifunge, modify position then introduce stop loss. Kama soko likienda hovyo SL inakuokoa!!

Ila likienda on your favor unapata faida!!

Nashukuru sana mkuu, somo limeeleweka vzr kabisa.

Nitayafanyia kazi makosa hayo na hasa kipengele cha psychology of trading and overtrading

Yap Lodrick! Sio mbaya sana ingawaje utakuwa umeongeza risk kidogo. "Pro trader wanakwambaia protect your capital in any way". but the most important ni SL.
 
Wakuu inamaana kama sitokuwa na postal address sitoweza kuApply na kupokea Mastercard ya Payoneer?
 
Nashukuru sana mkuu, somo limeeleweka vzr kabisa.

Nitayafanyia kazi makosa hayo na hasa kipengele cha psychology of trading and overtrading

Sent using Jamii Forums mobile app
Kitu nilichojifunza ni kwamba...ukiona unapata faida sana na ukiendelea kutrade jua unajisogeza kwenye moto bila kujua!

Katika state kama hii akili inakua haiko makini na ni sawa unampiga mtu ukaona amelegea badala ukimbie unabaki kumpiga.. hahaha kumbe jamaa nakutega tu...jua akisisimama hakuachi salama!!!

Na hapo ndio umuhimu wa pschology unapokuja bila kusahau kitu kinaitwa "greedy" na over comfidence!!

Kapitie kitab cha atrofx page za mwanzo wameandika haya mambo mkuu!!

Kila la heri!!

Yep Lodrick Thomas

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yap Lodrick! Sio mbaya sana ingawaje utakuwa umeongeza risk kidogo. "Pro trader wanakwambaia protect your capital in any way". but the most important ni SL.
Ni bora upoteze dola mbili kuliko kupoteza dola kumi soko likiwa on your favor!!

Cha msingi ni kuwa makini kabla hijafungua position uwe na sababu ya msingi ya kufungua bila kutumia SL na ku open few positions!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom