Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Wakuu hapa imekuaje? nipo na demo hapa, nime open position ya ku sell GBPUSD kwa 1.30311 muda wa saa 13:01 mchana na kwenye trade history hapo chini, pia niliweka stop loss ya 1.30383 kama nilivyoonyesha kwa hiyo line nyekundu hapo na trade history ilivyo, ila cha ajabu ilipofika muda wa saa 13:22 trade ili hit stop loss na kujifunga na nikapata hasara ya 6.70 kama inavyoonyesha, ila cha ajabu naona pair ya GBPUSD ilikuwa inashuka tu na hakuna mahali ilipanda na kufikia 1.3083 kama graph inavyoonyesha hapo, nimefikiria nimekosa jibu nimekosea wapi?
wadau Lodrick Thomas , Bavaria , Root ONTARIO hebu nielewesheni, hapo kuna sehemu value ya GBPUSD ilipanda na kufikia stop loss yangu? hata kwenye pc zenu mnaweza kutazama ndani ya hiyo timeframe kama hapa haionekani vizurui
Capture.PNG
 
Kwa uelewa wangu kidogo, SL ni minimum cutting edge ambapo ukifika position inajifunga ili ucpate hasara. Kinachonichanganya ni position kuopen kwa 1.30311 na kuset SL kuwa 1.30383. Mara zote, SL huwa NDOGO kuliko opening position amount, au huwa na negative value kuonyesha amount ambayo uko tayari kuloose katika hyo position.

Sasa hapo mbna SL yako ni kubwa kuliko opening amount?

Nipo tayari kuelekezwa kama nimekosea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunaposell ile stop loss amount hua greater than entry amount. Kwa lugha nyingne ni kua ukiwa umesell na price ikizidi kupaa basi ndipo unapopata hasara ndio maana stop loss hua juu kuliko trade entry.

Hapa umenivuruga... Naomba kufafanuliwa zaidi... Mana nlihc bei ikiwa kubwa unapata faida zaidi... Mana tofauti yake na ile uliitumia kuopen kwa kununua inakuwa kubwa zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu hapa imekuaje? nipo na demo hapa, nime open position ya ku sell GBPUSD kwa 1.30311 muda wa saa 13:01 mchana na kwenye trade history hapo chini, pia niliweka stop loss ya 1.30383 kama nilivyoonyesha kwa hiyo line nyekundu hapo na trade history ilivyo, ila cha ajabu ilipofika muda wa saa 13:22 trade ili hit stop loss na kujifunga na nikapata hasara ya 6.70 kama inavyoonyesha, ila cha ajabu naona pair ya GBPUSD ilikuwa inashuka tu na hakuna mahali ilipanda na kufikia 1.3083 kama graph inavyoonyesha hapo, nimefikiria nimekosa jibu nimekosea wapi?
wadau Lodrick Thomas , Bavaria , Root ONTARIO hebu nielewesheni, hapo kuna sehemu value ya GBPUSD ilipanda na kufikia stop loss yangu? hata kwenye pc zenu mnaweza kutazama ndani ya hiyo timeframe kama hapa haionekani vizurui
View attachment 561404

Ulitakiwa utoke kwenye hiyo trade baada ya kufika chini kabisa.

Hiyo pair bado ni sell setup ila inachofanya ipo kwenye corrective wave (resistance) ikimaliza ku-correct itaendelea kushuka.

Next time ukiona move kama hiyo toka haraka ikishafika chini..
 
baaada ya kupitia vitabu mlivyotupa humu nimegundua vitu vifuatavyo;
1) concentration kubwa sana, inahitaji utoe mda wako ufuatirie jinsi word trade market inavyotrend
2) usitumie pesa ya mkopo kwenye hii biashara
3) jua kukosa na kupata ni kawaida, na ukikosa usiumie ila jifunze umekosea wapi
4) hii kazi inahitaji ujasiri na kujitoa, watu wasifikilie kama hii kazi ni yakawaida kwani ikibidi tafuta watu msaidiane, wakati unaangalia upande fulani yeye anaangalia upande wa pili
5) tumia pesa ambayo it will not affect your standard of living
Hayo ndio nilioshauliwa na vitabu mlivyotuma
6) Mwisho hiia biashara inalipa kama utakua makini!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu hapa imekuaje? nipo na demo hapa, nime open position ya ku sell GBPUSD kwa 1.30311 muda wa saa 13:01 mchana na kwenye trade history hapo chini, pia niliweka stop loss ya 1.30383 kama nilivyoonyesha kwa hiyo line nyekundu hapo na trade history ilivyo, ila cha ajabu ilipofika muda wa saa 13:22 trade ili hit stop loss na kujifunga na nikapata hasara ya 6.70 kama inavyoonyesha, ila cha ajabu naona pair ya GBPUSD ilikuwa inashuka tu na hakuna mahali ilipanda na kufikia 1.3083 kama graph inavyoonyesha hapo, nimefikiria nimekosa jibu nimekosea wapi?
wadau Lodrick Thomas , Bavaria , Root ONTARIO hebu nielewesheni, hapo kuna sehemu value ya GBPUSD ilipanda na kufikia stop loss yangu? hata kwenye pc zenu mnaweza kutazama ndani ya hiyo timeframe kama hapa haionekani vizurui
View attachment 561404
Mkuu naona uliweka stop loss PIPs 7 kama sikosei 1.30311 +7 unapata 1.3038. Hizo ni chache sana so ilivyopanda kidogo ikaclose. Hapo kwenye maelezo umechanganya umesema SL ilikuwa 1.3083 wakati ni 1.3038.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa uelewa wangu kidogo, SL ni minimum cutting edge ambapo ukifika position inajifunga ili ucpate hasara. Kinachonichanganya ni position kuopen kwa 1.30311 na kuset SL kuwa 1.30383. Mara zote, SL huwa NDOGO kuliko opening position amount, au huwa na negative value kuonyesha amount ambayo uko tayari kuloose katika hyo position.

Sasa hapo mbna SL yako ni kubwa kuliko opening amount?

Nipo tayari kuelekezwa kama nimekosea.

Sent using Jamii Forums mobile app
nilikua nauza, ukiwa unauza pair ikishuka ndio faida, ikipanda kuliko pale uliponunulia ni hasara, so ndio maana stop loss ipo juu ya price
 
Hapa umenivuruga... Naomba kufafanuliwa zaidi... Mana nlihc bei ikiwa kubwa unapata faida zaidi... Mana tofauti yake na ile uliitumia kuopen kwa kununua inakuwa kubwa zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
Kanuni ya stop loss na take profit ipo hivi, ielewe hii kwanza then mengine yatafuata.

Tunaposell: tunaset stop loss hua amount kubwa kuliko bei ya soko wakati huo, na take profit hua ni amount ndogo kuliko bei ya wakati huo. Hapa inamaana kwamba ukiwa kwenye sell position unapata faida pale bei ya soko inapozidi kushuka.

Tunapobuy: tunaset stop loss amount ndogo kuliko bei ya soko, na take profit amount kubwa kuliko ile bei ya soko. Maana yake ni kuo ukiwa kwenye buy position basi unapata faida pale bei inapozidi kuongezeka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu naona uliweka stop loss PIPs 7 kama sikosei 1.30311 +7 unapata 1.3038. Hizo ni chache sana so ilivyopanda kidogo ikaclose. Hapo kwenye maelezo umechanganya umesema SL ilikuwa 1.3083 wakati ni 1.3038.

Sent using Jamii Forums mobile app
NI kweli ni pips 7, ila ukiangalia kwenye graph hapo haijapanda hadi ikafikia 1.3038, ilishuka tu, nashangaa iliifikiaje stop loss?
 
buying new lows – also
known as bottom fishing. This is where the trader will attempt pick the market
bottoms, focusing on getting in at the low of the price action downtrend. This
method is extremely risky alongside selling new highs! Traditional trading suggests
waiting patiently for confirmation that the underneath support level has
held and prices are moving in an uptrend with higher highs and higher lows.

naombeni ufafanuzi zaidi hapo​
Pale ambapo trend inabadika mfano kutoka kwenda ikageuka kwenda chini.unatakiwa uuze/sell.
Sasa kabla ya kuexcute selling baada ya kuona signal mfano bearish candle/kangaroo tail etc inashauriwa usubir comfirmation yaani signal candlestick ya kuchange direction ya trend ikifuatiwa na candlestick ilyokatka direction mpya ndo u place order yko.
Risky ni kuwa trader anaweza excute sell trade sabbu ya signal ya kwanza tuu ili aweze kupata faida kubwa.ikatokea candle ya pili haijaenda upande aliotegemea/bear means amelose io trade.
Mwngne ataongezea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulitakiwa utoke kwenye hiyo trade baada ya kufika chini kabisa.

Hiyo pair bado ni sell setup ila inachofanya ipo kwenye corrective wave (resistance) ikimaliza ku-correct itaendelea kushuka.

Next time ukiona move kama hiyo toka haraka ikishafika chini..
mkuu hujanielewa kabla haijafika kwenye resistance ndio ikapanda tena, position yangu ilikua imesha close kwenye stop loss kwa juu kabisa (nimeonyesha na mstari wa bluu), nashangaa pair haikupanda hadi kufikia juu kiasi hicho, ila ime close?
 
Boss vipi kuhusu take profit, je usipoiset inaweza let tatizo kama la mkuu apo juu?
 
Tunaposell: tunaset stop loss hua amount kubwa kuliko bei ya soko wakati huo, na take profit hua ni amount ndogo kuliko bei ya wakati huo. Hapa inamaana kwamba ukiwa kwenye sell position unapata faida pale bei ya soko inapozidi kushuka.

Tunapobuy: tunaset stop loss amount ndogo kuliko bei ya soko, na take profit amount kubwa kuliko ile bei ya soko. Maana yake ni kuo ukiwa kwenye buy position basi unapata faida pale bei inapozidi kuongezeka

Naendelea kukomaa wandugu, mnivumilie...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu hujanielewa kabla haijafika kwenye resistance ndio ikapanda tena, position yangu ilikua imesha close kwenye stop loss kwa juu kabisa (nimeonyesha na mstari wa bluu), nashangaa pair haikupanda hadi kufikia juu kiasi hicho, ila ime close?

Nimeshakuelewa.

Kwanza ulichokosea ni kuweka stop loss ikiwa karibu sana na price yako.

Hapo nimeona umeweka pips kama 7 tu kama SL yako.

Na price movement huwa inapanda na kushuka. Kwahiyo, inawezekana hiyo price ilipanda na kukuta stop loss yako.

Kwahiyo kuna wakati unatakiwa kuweka SL kubwa ili price iki-retrace isiweze kuigonga.

Hata mimi nilikuwa kwenye hiyo trade pia.
 
Ok,ila hapo mbona naona haijapanda hadi kufikia hapo? maaana hizo shadows za candlestic hazijaonyesha kupanda hadi kufikia hiyo price hiyo

Swali lingine, unashauri au maoni juu ya stop loss ya kiwango gani unatakiwa uweke ili usisimsmishwe sana, na leverage gani naweza ku set maana leverage kubwa ni majanga, nimefikiria ku deposit dola 1000 nikianza na real account, ila wana suggest eti leverage isizidi 3 kwa new trader, suggestion yako kama mzoefu...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom