Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
buying new lows – also
known as bottom fishing. This is where the trader will attempt pick the market
bottoms, focusing on getting in at the low of the price action downtrend. This
method is extremely risky alongside selling new highs! Traditional trading suggests
waiting patiently for confirmation that the underneath support level has
held and prices are moving in an uptrend with higher highs and higher lows.

naombeni ufafanuzi zaidi hapo​
 
Kuna kipindi nilishawishiwa na jamaa mmoja mnigeria akawa ye anaweka ananipa profit ila alinielezea ni forex but kunielezea ilikuwa ni ngumu,wengi wenye uelewa kwenye forex hawataki watu wajue na natamani nijue jinsi ya kujiendesha mimi
 
buying new lows – also
known as bottom fishing. This is where the trader will attempt pick the market
bottoms, focusing on getting in at the low of the price action downtrend. This
method is extremely risky alongside selling new highs! Traditional trading suggests
waiting patiently for confirmation that the underneath support level has
held and prices are moving in an uptrend with higher highs and higher lows.

naombeni ufafanuzi zaidi hapo​
Ninavyoelewa hapo ni kwamba kuingia kwenye market wakati trend ipo kwenye Support ni risk kwa sababu sometime market does not respect the support ambapo wewe ukienda bottom fishing unaweza kwama kwenye tope. Ila pia ikijibu inakuwa na reward nzuri kwasababu utakuwa umekusanya PIPs za kutosha. Inashauriwa kusubiri na kuangalia candles zinazofuata zinaconfirm nini? Kama ni uptrend then unaingia sokoni. Same applied to when the market hit the resistance..

Ni vizuri pia kuangalia different time frame ie.. 1H, 4H and 1D unaweza kuconfirm vizuri resistance and support.

Hopely niko sahihi kwasababu mwenyewe najifunza so wahenga wengine wanaweza kuelezea zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
buying new lows – also
known as bottom fishing. This is where the trader will attempt pick the market
bottoms, focusing on getting in at the low of the price action downtrend. This
method is extremely risky alongside selling new highs! Traditional trading suggests
waiting patiently for confirmation that the underneath support level has
held and prices are moving in an uptrend with higher highs and higher lows.

naombeni ufafanuzi zaidi hapo​

Mkuu for my own knowledge when you confirm that the the trend is approaching with higher highs and its reaching the resistance levels its a good sign to go long. But do not only depend on this use other indicators.

And when there are high lows ambazo zime reach your support level its a good sign to go short.

Wakuu mwenye kuongezea zaidi pia anaeza toa more info depending on entering a trade depending on a trend.
 
Cha kuongeza hapo ni kuset Stop Loss just few PIPs above and below just incase things went south.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Najitoa kwako forex kwa akili zangu zote na kwa uwezo wangu wote hadi siku nitakapofanikiwa
na hata nikifanikiwa sitakuacha asilani forex wangu,na hata nikiunguza account sitokuacha kwani nimeunguza sana kwa mhindi kwenye kubet bora forex maana najua nitakuwa nakukumbuka sana na kuwaza ulikonitoa.

Wandugu na wapenzi wa forex tusomeni tena sana maana najua kila mmoja wetu kila kukicha anapata mwangaza ndani ya forex,Mhenga wangu Ontario barikiwa sana tena sana.
 
Hahah hahaha nimecheka kwa sauti forex itatoa watu roho duuh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Having A Daily Risk Limit
I recommend having three to four risk thresholds as part of their trading plan. They are:

1) A max risk per trade
2) A max risk per day
3) A max risk per week
4) A max risk per month

A max risk per trade should be based upon your https://2ndskiesforex.com/trade-signals/forex-strategies/the-risk-of-ruin-tables-you-should-know/

NOTE: You cannot calculate your risk of ruin if you are risking a fixed dollar amount per trade.

I’ve written extensively [URL='https://2ndskiesforex.com/trade-signals/forex-strategies/fixed-equity-vs-fixed-dollar-amount-better/']why risking a fixed percent per trade is far superior to a fixed dollar amount
.

If you have a risk of ruin that is zero, mathematically you a) cannot blow up your account, and b) will make money.

A max risk per day should be a daily risk limit to avoid losing too much on any given day. The max risk per week and month are also based upon the same concepts.

If any one of the above is ‘optional‘ in my book, it is the max risk per week. Keep in mind, none of the above defines how many trades you should (or should not) take in a day to avoid over-trading.

If a basketball player is on a hot streak, you keep feeding him the ball as those streaks are critical to winning. Professional poker players know this as well – when hot, keep putting your chips down.[/URL]
 
Mkuu for my own knowledge when you confirm that the the trend is approaching with higher highs and its reaching the resistance levels its a good sign to go long. But do not only depend on this use other indicators.

And when there are high lows ambazo zime reach your support level its a good sign to go short.

Wakuu mwenye kuongezea zaidi pia anaeza toa more info depending on entering a trade depending on a trend.

Mkuu mzee baba hapo umechanganya mkuu wangu we normally don't go long on resistance unless unategemea kuwa price itabreak resistance...

Nini kitakachokufanya uone kama price itabreak resistance???

price lazima ipause kwa muda mdogo (yaani i-consolidate ) na kama unatrade naked basi imeprint bullish trendy kangaroo na hyo trendy kangaroo iwe ni ideal...yaani iwe na characteristics zote za normal kangaroo tail except room to the left..(hapa ina maana kuna trend continuation)...ila inaweza ikareverse vile vile....so hapa stop loss below the low of the trendy kangaroo muhimu sana...(beware of trendy kangaroo)

The vice versa is correct for support

Note Go long=Buy
Go short= Sell

Anaposema a trader should wait patiently for new higher highs and high lows and the support has held ana maana kuwa hapo uptrend imeanza na hapo ndo unago long (unaweka buy setups) na unaweza fanya hvo baada ya kuangalia bullish catalysts kama vile bullish kangaroo tail...bullish engulfing candlestick... Tweezer bottom...morning star...etc...unaweza kuongezea na Movinng average indicator

Kama nitakuwa Nimekosea I stand to be corrected wakuu..
 
Would you mind being my mentor? Nimesoma kidogo kupitia app ya Go Forex, but I think I need someone to explain few things... Nahtaji msaada. Katika app nko na virtual money katika demo, na wanatumia REAL MARKET DATA lakn bado kama celew naanzia wapi

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi sio mtaalam kivile lakini naweza kwa kiwango changu, nami nakodolea macho kwa ONTARIO
But sishindwi kukusaidia hata kwa kiwango kidogo
 
Mkuu mzee baba hapo umechanganya mkuu wangu we normally don't go long on resistance unless unategemea kuwa price itabreak resistance...

Nini kitakachokufanya uone kama price itabreak resistance???

price lazima ipause kwa muda mdogo (yaani i-consolidate ) na kama unatrade naked basi imeprint bullish trendy kangaroo na hyo trendy kangaroo iwe ni ideal...yaani iwe na characteristics zote za normal kangaroo tail except room to the left..

The vice versa is correct for support

Note Go long=Buy
Go short= Sell

Anaposema a trader should wait patiently for news higher highs and high lows and the support has held ana maana kuwa hapo uptrend imeanza na hapo ndo unago long (unaweka buy setups) na unaweza fanya hvo baada ya kuangalia bullish catalysts kama vile bullish kangaroo tail...bullish engulfing candlestick... Tweezer bottom...morning star...etc...unaweza kuongezea na Movinng average indicator

Kama nitakuwa Nimekosea I stand to be corrected wakuu..

Thanks for correction mkuu.
 
Mimi sio mtaalam kivile lakini naweza kwa kiwango changu, nami nakodolea macho kwa ONTARIO
But sishindwi kukusaidia hata kwa kiwango kidogo
Thats more than enough... Sbb mie ndo najiona cjui lolote kbs... Hata nkibetigi huwa naishia kupunwa tu . But hapa, katika real world, with real people, nahc naweza fanya kitu... And am really thankful for that....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom