Mwanambugulu
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 671
- 815
yes,ni safi,tupige shule,astrofx nimekimaliza jana.sasa naanza cha nne,forex bible,hakuna kurudi nyuma hapa.Huyu jamaa Ontario ni bonge la game changer!!!
Na bonge la motivation speaker kiwango cha uzamivu,style ya uandishi wake utafikiri ana vinasaba vya Shabani Robert!!!!
Ndani ya muda mfupi kafanya yafuatayo
1.karudisha matumaini mapya ya vijana wa Tanzania hasa kutokana na hali ya sasa ya kibiashara na ajira
2.kaleta moyo wa kushirikiana miongoni mwa watanzania ambao ulikua umekufa
3.kasababisha watu kutumia muda na mitandao vizuri instead of ku check hoja za mange kimambi na tundu lisu bora nimcheck Andile mayisela analysis zake au nkasome astro Forex
4.kwa mara ya kwanza Tanzania Forex academy ya Jamaa itakua na application nyingi kuliko MD Muhas ukilinganisha saiv ndo kipindi cha Ku apply vyuo nahisi watu wanaweza kubadili maamuz
Ila ombi langu kwa serikali
1.i support vijana kama hawa (ontario Bavaria na the like)wanao badili maisha ya vijana wa kitanzania big time
2.serikali inge introduce kwenye mitaala ya vyuo somo la Forex kama communication skills au development studies ila inakua option ukipenda sawa usipopenda sawa
Hii ingesaidia vijana kupata mitaji ya kujiajir wakimaliza
........hebu nkamalizie astro Forex nkajiandae na safari kuelekea kaanani
Hope tutakutana darasani wiki ijayo nkiwa seat ya mbele kabisa ili projector ikicheza kidogo namsaidia mentor kuiweka sawa
Ontario count me in
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu mnajua vitu hadi nachanganyikiwa! Unaniruhusu niku-pm?Kazi nzuri Complex.... big up! Pia baada ya Double bottom support pattern ungeweza kuongeza EMA indicator ukaangalia fast line na slow line zinavyo cross over... indicating trend reversal. Na pia ukapata good entry and exit points.
RSI naona kama haijakusaidia hapo kwa sababu umeseti 14 days, naona kama ungeweka 9 or 10 days ingekupa indication nzuri kwa M30 timeframe.
my humble opinion.
ruksa mkuu .... tuko pamoja tunajifunza hapa
Jamani niombeni vitabu hv naked forex na Forex bibleNilikua nasoma naked forex na astro forex silmutaneously, naona bora astro nikiweke pemben kidogo nikomae na naked kikisaidiwa na forex bible. Then nitakirudia baadae.
Sent using Jamii Forums mobile app
Binafsi nina hard copy, softcopy zilifutika kwenye simu.
Hivi hapa boss..
XM ni moja wapo. Sema niliona kama wanarecommend kuwa na account kwenye bitpay ambayo inasemekana kuwa app yake inasumbua!Baada ya kuona kikwazo kilichopo mbele yetu kwa sasa ni banking services niliamua kuchimba kidogo ni jinsi gani tunaweza kuikwepa hii changamoto.
Kwa baadhi ya watu ambao washapitia vitabu na pia walioanza demo ama real account(congrats) mtakuwa mmeona kuna baadhi ya brokers (true ECN) Ambao wana accept bitcoins.
Kwa wenye uelewa/watumiaji wa bitcoin hii ni moja ya solution ambapo utaepukana na ABCs za mabenki yetu
Kwa wasioifaham Bitcoin & cryptocurrencies in general hamjachelewa yapo materials mengi tu ya kusoma na kuielewa...
Ntapost list of brokers ambao wana accept cryptocurrencies especially bitcoins
Kumbuka wapo verified agents wengi tu ambapo unaweza kuuza bitcoins zako kwa njia rahisi Sana kama Mpesa etc
Hapa pips tuu
....................
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu naomba pdf ya naked forex na forex bible kama unazoKwenye hivi vitabu naona njia nzuri ni kuviblend viwili ama vitatu ili upate desired knowledge. Kwa mimi naona kitabu cha Astro Fx kama kinachanganya vile, siuoni ule mtiririko fulani hivi utakoukufanya uende with the book's flow (labda ni kwa vile wenyewe wana video clips during sessions which work hand to hand with books). Mfano wanakuja tu kwenye graph na kuanza kuichambua kwa kutumia Fibonacci tool huku hata hawajaeleza kinagaubaga ni kitu gani, inabidi uende mbele kama imeelezewa au urudi kwenye kitabu kingine utafute knowledge yake. Kwa sasa naona ni bora niende na vitatu, napiga Astro nikiona chenga nahamia Naked forex then namalizia na forex bible, naamin nitakua nimepata kitu hapo ndo naendelea.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naweza pata pdf mkuu??Anza na forex for beginners,kiko very simple
love thé love or hâte thé love.....
Unwz funguka zaidi mkuu,km umeniacha.XM ni moja wapo. Sema niliona kama wanarecommend kuwa na account kwenye bitpay ambayo inasemekana kuwa app yake inasumbua!
Njia hii ni nzuri sana, unaweza nunua bitcoin kwa wakala akakutumia kwenye account yako (wallet) kisha kutoka kwenye wallet unaweza kutuma hela kwa broker wako, kuitoa... na kutoka kwenye wallet yako unaweza toa hela kupitia Bitpesa na kuipokea kwa njia ya kawaida ya mpesa! (Itakubidi ujiunge na Bitpesa pia ambapo bitpesa wanahitaji kitambulisho cha kura/taifa au hata leseni ya udreva tu)
Sent from my TECNO F5 using JamiiForums mobile app
Mbona kila kitu kipo humo?
Wakuu nimefanikiwa kufungua real account leo na FXCM naomba kuelimishwa namna ya kudeposit hela. TIA.
Nimejaribu kupafungua hapo ila nimekuta option kama 5 hivi na zote sijawahi kuzitumia ndo sababu nimeomba ufafanuzi mkuu.Mbona kila kitu kipo humo?
Kuna mahali pameandikwa deposit
Nzuri zaidi ni kutumia debit card,una visacard au mastercard ya benki yoyote?Nimejaribu kupafungua hapo ila nimekuta option kama 5 hivi na zote sijawahi kuzitumia ndo sababu nimeomba ufafanuzi mkuu.
Vipo juu hapo mkuu, post no. 6198Mkuu naomba pdf ya naked forex na forex bible kama unazo
Extend your hand in kindness and offer help to the most in need
Sitaki kukuongopea sijawahi kufikiri kumtumia huyo broker. Ni vizuri ukatumia broker unayemfahamu angalau kupitia wengine. Kama sikosei hao ni WanaijeriaNimejaribu kupafungua hapo ila nimekuta option kama 5 hivi na zote sijawahi kuzitumia ndo sababu nimeomba ufafanuzi mkuu.
Vipo juu hapo mkuu, post no. 6198Mkuu naomba pdf ya naked forex na forex bible kama unazo
Extend your hand in kindness and offer help to the most in need