Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
kiukweli Mimi huu Uzi nimeufatilia kwa umakini sana vitabu vyote nimedownload ila tatizo liko kwenye lugha, lugha jamani lugha!!!

Mkuu pole sana, kazana kusoma taratibu utaanza kuelewa usiwaze sana hela waza kwanza kuijua na kuipenda Forex yenyewe kwanza then utaenjoy baadae

Najua kuna terms nyingi mpya unakutana nazo jipe muda wa kuzielewa then jikite kwenye contents
 
Kama kawaida ya Forex, Patience is Everything! Kwa leo nimeanza na kufunga Gold(XAU/USD) nliokuwa nimei-short tokea ijumaa! Baada ya muda nikaona bado inazid kushuka na price action inaonesha kuwa itashuka mpaka key support ya chini, so nika-sell tena tokea asubuhi na mpaka jioni hii naona inaelekea kama nilivyotumaini
8816a129e7b9d0091aad95f09831e9f4.jpg

9ede2741f99148054dde96fc99dd6575.jpg

Kwa nyongeza, asubih niliona kuwa GBP/USD ipo kwenye uptrend lakin ilionesha dalili za kuretrace(kama kujirudi) kabla haijaendelea kupanda nikaamua kusell ili niweze pata faida japo kidogo kabla trend haijaendelea, kwa bahat nzuri nimewez ku-close kwa faida.

Pair nyingine niliyoweza kuingia ni USD/JPY ambayo mwanzo nilijua itashuka chini na kuvuka key level ya 111.8 lakini mpaka saa 4 asubuhi ilikuw juu ya 112.0 so nkaona itapanda mpaka karibu na key level ya 112.9 na ikizid inawez kwenda mpaka 114.2 ambayo n resistance, so nika-buy na kwel imewez kuvuka target ya kwanza (113.00) kwahiyo hapa nasubir kama itaniridhisha ni buy tena mpak 114.00 kama target ya polo.

Hizi ni screenshot za trade nilizofunga ikiwamo GBP/USD pamoja na USD/JPY (XAU/USD-Gold sijaifunga nasubiri take profit ifanye kazi yake).
2f0cf80393e21713e8646d03bde6ad30.jpg

NB: Natamani kuwa katika timu ya ontario, nitafurahi kama nitakua mwanafunzi wake, ontario popote ulipo naomba uyasikie maombi yangu!

Nawasilisha!
 
Swali gumu sana hilo mbona. Kitendo cha kutojua broker wako mpaka sasa maana yake sio mtu makini maana ukifuatilia hii thread kwa makini atamjua tu broker wako wa sasa na wa awali uliyekuwa una mtumia
Boss, Pita kushoto, Sio lazima utie mguu katika hili pia

Yaan kwa umri wako wewe kama umeshindwa hata KUJIONGEZA LUFANYA UTAFIT WAKO MWENYEWE unatia shaka

[HASHTAG]#Sio[/HASHTAG] lazima utumie broker wa Jeff, unaweza tafuta wako

[HASHTAG]#Kama[/HASHTAG] unahisi ni ngumu kutafuta wako, hapo ni posta n mbali kwani? kuvumilia masomo yaanze kinakushinda nini???

[HASHTAG]#Soma[/HASHTAG] soma soma, kama huwezi we potezea tu, yaan fanya kama hujaona hii Thread, hii dunia sio ya mtu kulishwa kila kitu, wewe utakua umefanya nini sasa???
 
Iko hivi mtu unatamani kuwa na gari then kwa muujiza unapewa gari hapohapo umekaa kwenye usukani unataka kuendesha bila ya hata kupitia shule ya udereva,matokeo yake ni nini zaidi ya kupata ajali?hata akitupa broker anayemtumia au broker mzuri pasiko uelewa ni kazi bure nisawa na kuendesha gari bila mafuta,mimi nasubiria mwongozo tu utakaotolewa kama nitakuwa nimeelewa kitabu sawa kama nitakuwa sijakielewa ni sawa kwani atanifanya niweze kukielewa
 
mkuu usitufanyie hivo, tutajie jina la broker wako tafadhali , hapo umesema mambo ya germany stock index, ukitutajia na broker mwenye full vitu kama hivo itakuwa vizuri zaidi

Kwenye kampuni yoyote ile duniani kuna kitu kinaitwa trade secrets ni kitu ukijichanganya tu...wewe kama mwekezaji umeliwa mazima...
Sasa kny suala la kujua ni broker gani anayemtumia ontario we subiri upige shule ukishaiva utakutanishwa na broker husika otherwise kama huwezi subiri basi nenda tu kwa hao mwendo kasi...
 
Kwa mara ya kwanza na mimi nimejaribu kutrade through demo account kwa kuyumia pair ya GBPUSD na baadhi ya pair chache ambazo zinainvolve USD. Na hiki ndicho nilichokipata

813bed4dba506ed769e24aae8e033bb7.jpg

Hizo loosing trade za juu ni kwasababu nilikuwa sijui when to buy and when to sale ndo maana trading nne zote za juu nikaingia loss

Pia katika siku yangu ya kwanza ya kutrade demo kuna vitu vichache nimejifunza... naomba wataalamu mnikosoe in case kama nitakiwa nimeenda wrong

Nimejua ni kwanini inashauriwa kuchagua broker ambaye ana spread ndogo kwa maana nilichokiona ni unapoexecute order whether uwe umebuy au umesell, the first thing ni kufill kwanza lile gap la spreap then ndio pips zianze kuwa counted.

Am still an amateur And I believe I can be a Pro... Nimekuwa inspired sana leo

cc Ontario Bavaria
 
Kwanza nilipokutana na uzi wa ontario niliusoma sana hadi nikauprint,mara nyingi uzi za ontario huwa nikishazisoma lazima niziprint kuanzia biashara manunuzi kwa njia ya mtandao,ikaja ya matrekta na sasa hii,wadau walivyoweka kitabu cha dummiees nilikiprint pamoja na astrofx cha kwanza nilichokifanya nilikibind vizuri nikakiweka mezani then nikaenda nje kuota jua,jion ilivyofika nikakiweka kwenye mkoba wa laptop nikaendacho nyumban nikavichukua kitu cha kwanza nilichokifanya nilianza kuangalia picha kuanzia mwanzo hadi mwisho tena mara tatu tatu,then nikaenda kulala hapa nilipo niko page ya 32 astrofx tokea madini haya yapatikane,sina papara kwani niko tayari hata kama sitaelewa kivile si hata makapi yatapakitana kwenye huu mchanga wa makinikia?
 
Kwa mara ya kwanza na mimi nimejaribu kutrade through demo account kwa kuyumia pair ya GBPUSD na baadhi ya pair chache ambazo zinainvolve USD. Na hiki ndicho nilichokipata

813bed4dba506ed769e24aae8e033bb7.jpg

Hizo loosing trade za juu ni kwasababu nilikuwa sijui when to buy and when to sale ndo maana trading nne zote za juu nikaingia loss

Pia katika siku yangu ya kwanza ya kutrade demo kuna vitu vichache nimejifunza... naomba wataalamu mnikosoe in case kama nitakiwa nimeenda wrong

Nimejua ni kwanini inashauriwa kuchagua broker ambaye ana spread ndogo kwa maana nilichokiona ni unapoexecute order whether uwe umebuy au umesell, the first thing ni kufill kwanza lile gap la spreap then ndio pips zianze kuwa counted.

Am still an amateur And I believe I can be a Pro... Nimekuwa inspired sana leo

cc Ontario Bavaria
Hongera kwa kujaribu mkuu.. Kwenye suala la spread uko sahihi kabisa broker analamba kwanza chake ndio unaanza kupata profit yako.
 
Boss niambie utatumiaje last kiss au busu la mwisho ili kuepuka fake-out kama PA trader soko likiwa kwenye drifting mood??

Watu kama nyinyi ndio wa kwanza kurusha matusi mkishachoma accounts zenu. Kama una haraka sana do what's best boss wala simkatazi myu. Forex bila patience ni sawa na kujitekenya tekenya, sasa kama unakosa patience ndogo utaweza kuhandle manyota nyota ya soko.
wah gwaan [HASHTAG]#ontario[/HASHTAG]
mkuu hua najifunza sana kwny kla post ynayopost kwangu mi n darasa tosha, now nna mwanga kdogo hua unafanyaje trading na baadhi ya strategies unazotumia, nlivogundua kutoka kwako n kwamba
lesson no 1. hutumii indicators kuna post jlisema hakuna pro anaetumia indicators iyo ndo maana ya naked forex, pattern hazijawah mpoteza mtu floor and ceilling ndio mchawi wa price action [support and resistance]
lesson no 2. lot size. nukuu: leo mtu anaezanishangaa natembea na lot ya 0.02 lkn nna maana yng, the goal is to make profit with minimum chances of losing big numbers
lesson 3. analysis hua hutumii indicator yeyote. hua unatumia PA, kuangalia mvnt ya currencies nyuma na kuamin kua itabehave ivo hata bdae
ni sawa na kusma kama mvua ilinyesha mwez wa 2 na wa 3 bac hata mwakan itanyesha mwez huohuo
lesson no 3. strategies unazotumia ni head and shoulder, double top, na last kiss izo n baadhi ya ulizosema zngine cjui nadha ntaendelea kuzipata
lesson no 4. time frame H4 is the best
lesson no 5; bout broker umesema n key factor in trading
lesson no 6; kuna ktu unakiongea sana kuhusu PsYChOlOgY of trading, nukuu; books will give you only 40% ya unachotaka kukijua kuhusu forex, market will give u the remaining 60% ya unachotaka kukijua. inaendelea ivii
"but what matters most in forex ni the skill of biying and selling...
LAKINI ili ww ufanikiwe unahitaji 10% tuu ya trading skills hizo 90% ni PSYCHOLOGY narudia PSYCHOLOGY.
unamalizia kwa kusema all in all skills na trading psychology ndo vnamatter ukiwa na hvyo hii game unakua unateleza tuu bila kujali factor zingine zlzo nje ya uwezo.
sasa mkuu naona psychocology imeplay role kubwa sana kati ya vtu ambavyo umekua ukivigusia hapa mwishoni
so mi nlkua nakuomba kama ulvoweza kutufungulia hili na kusema tutavuka pamoja bac nngeomba utuambia tunaezapateje iyo knowledge ya psychology kama ni kitabu tuekee au tutajie jina ili tukifanyie kazi, ni hayo tuu
thanx in advance kwa majibu
 
Ndugu Ontario ana kazi kubwa sana maana sio mfanya biashara,mkulima,sio mtu wa ofisini wala sio kuli wala sio house girl atakubali kupitwa na semina na itashangaza pale ametangaza mfano jumamosi ndo group la kwanza linatakiwa likafanye mazoezi,mara umefika unakunata na house girl,mtoto wako aliyeko chuo,hata yule wa shamba nae yumo.kwa uelewa wangu mdogo asilimia 80 lazima kiswahili kitumike
 
Watu bhana,, broker, broker, broker.. Alafu ukishaambiwa..? Kama mtu unaharaka hivyo si utafte wakwako..? Ebu tulieni bhana acheni mambo ya ajabu..
By da way mtu anatoa screen shot kila day akisema anachokifanya jamaa yake ndio nae anakifanya na screen shot inaonyesha anatumia mt4 is just mtu kujiongeza kujua huko wanapatikana ma broker gan? Hapo ndio uje na swali..
 
Kama kawaida ya Forex, Patience is Everything! Kwa leo nimeanza na kufunga Gold(XAU/USD) nliokuwa nimei-short tokea ijumaa! Baada ya muda nikaona bado inazid kushuka na price action inaonesha kuwa itashuka mpaka key support ya chini, so nika-sell tena tokea asubuhi na mpaka jioni hii naona inaelekea kama nilivyotumaini
8816a129e7b9d0091aad95f09831e9f4.jpg

9ede2741f99148054dde96fc99dd6575.jpg

Kwa nyongeza, asubih niliona kuwa GBP/USD ipo kwenye uptrend lakin ilionesha dalili za kuretrace(kama kujirudi) kabla haijaendelea kupanda nikaamua kusell ili niweze pata faida japo kidogo kabla trend haijaendelea, kwa bahat nzuri nimewez ku-close kwa faida.

Pair nyingine niliyoweza kuingia ni USD/JPY ambayo mwanzo nilijua itashuka chini na kuvuka key level ya 111.8 lakini mpaka saa 4 asubuhi ilikuw juu ya 112.0 so nkaona itapanda mpaka karibu na key level ya 112.9 na ikizid inawez kwenda mpaka 114.2 ambayo n resistance, so nika-buy na kwel imewez kuvuka target ya kwanza (113.00) kwahiyo hapa nasubir kama itaniridhisha ni buy tena mpak 114.00 kama target ya polo.

Hizi ni screenshot za trade nilizofunga ikiwamo GBP/USD pamoja na USD/JPY (XAU/USD-Gold sijaifunga nasubiri take profit ifanye kazi yake).
2f0cf80393e21713e8646d03bde6ad30.jpg

NB: Natamani kuwa katika timu ya ontario, nitafurahi kama nitakua mwanafunzi wake, ontario popote ulipo naomba uyasikie maombi yangu!

Nawasilisha!
sasa hio hapo ni simu ama laptop..sijui nianzie wapi.hebu nisanue Chala'angu.
 
Nilichokigundua kwenye mitandao kuna biashara nyingi sana ambazo tukiwa makini hakuna mtu atatamani hata kulala,kweli walisemaga akili ni nywele na kila mtu ana zake duh kweli Bwana Otario umeweza kubadilisha upepo hapa jf,nahisi uzi wa kwanza mtu anapowasha data break ya kwanza ni jf na umeweza kufanya watu wajue kazi ya internet ni nini na vidole vinatakiwa kuperuzi nini kwenye inernet barikiwa kijana
 
When I win let's win together, when I lose let's make losses together

Eish hectic day but it's worth it.

Wazee msione nipo kimya. It's never easy starting something from scratch into a reputable corporate entity. It takes time and concentration - foundation is everything, sitaki nianze kitu niishie kati. So, msione Jeff labda anadelay or something. Kuna jamaa hapo juu ana avatar ya rangi ya blue naona ananikejeli - while hajui nini nafanya na nini kinaniconsume time zaidi.

Kuandaa syllabus ya FX si sawa na syllabus ya Jogi ya form 2. It takes time. But soon mambo yakiwa sawa, inshaallah tutanzaa. Mimi tayari nimeapa afe simba afe mmasai, afe beki afe kipa, we will take over. Sitaki kubahatisha - najua hata uelewa wetu unatofautiana sana, so lazima nifanye kitu ambacho kinaweza kua consumed and absorbed hata na form 4 re-seater.

My boy is winning big time, we are winning and losing together

That boy is going places, he trades what I trade and he learns through it, tunatofautiana tu lot size. Ukiachilia mbali currencies leo tumetrade utamu mwingine, achana na mafuta. Tumeingia soko la Frankfurt na kutrade Germany Stock Index (DE30 ama DAX) - hii inainclude makampuni 30 makubwa zaidi ya ujerumani yenye liquidity kubwa kama Adidas, BMW nk.

Dogo leo kapiga mshahara wa Lecturer (kama tukisema lecturer analipwa kwa siku 267,000). It makes me a happy man.
b5eb089f52b4fd9727aa1e7176809caa.jpg
The boy doing it again, jaza ujazwe!!

Guys!! Tuache papara, let's be ready to learn and acquire knowledge na skills - money will flow through. Watu kama huyo jamaa post no. 4632 ni aina ya watu ambao hata ufanyaje, he'll still come back and point a finger at you.
Mkuu tuko pamoja sana.. Zaidi nazidi kukuombea mambo yako yakamilike.. Ili darasa lianze.. Pia jaribu kufanya mambo yake vile we ulivyokusudia na kwa ubora unaoutarajia.. Ukisema nikufuatilia mawazo ya kila mtu huku.. Wengi tunasukumwa na munkari bila kujua uzote wa jambo.. So ni vema ukafanya jambo lako bila kutazama tunasema nn.. Muhimu nikuitunza heshima yako..!
 
tokea uzi huu umeanza sijawah sikia mtu akiaga kwa kusema usiku mwema,tena mbaya zaid iwe siku ya ijumaa jion wanatamani wasimamishe hata muda usiende,jumamosi ikifika duh ndo utadhani kama wanadaiwa na hapo ni demo tu,(just a joke ma friend)
 
Kwa watu walio mbeya town na tupo interested na hii kitu tunaweza kuwasiliana hata kukutana physically tukabadilishana experience, skills na pia kufanya mipango kwa pamoja tutahudhuria vp pindi za mkuu ontario

Point nzuri mimi pia nipo Mbeya ikiwezekane tukutane, pia nimejipanga kuhudhuria ile tarehe 26 mwezi huu Nairobi maana huwa naenda kule kibiashara, nataka nifix timetable yangu.
 
Kwenye kampuni yoyote ile duniani kuna kitu kinaitwa trade secrets ni kitu ukijichanganya tu...wewe kama mwekezaji umeliwa mazima...
Sasa kny suala la kujua ni broker gani anayemtumia ontario we subiri upige shule ukishaiva utakutanishwa na broker husika otherwise kama huwezi subiri basi nenda tu kwa hao mwendo kasi...
Sina haraka mkuu, i only wanted to do some research regarding huyo broker myself,as far as i know mabroker wazuri wanatoza some fees, bure ni gharama,, ila i understand why hawezi kumuanika hapa,
 
Wabongo hebu mje Huku niko Mtz peke yangu the rest wakenya
Hiyo link ikikataa ni whatsapp 0757869930 nitakutumia link
Tujaribu kupata more knowledge wakati tuna msubiria Ontario kuanzisha darasa hapa TZ
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom