Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
good week ahead brothers...

nina furaha sana tena nawapongeza wote mnaotupia knowledge mliyoipata humu kuhusu forex trading..niseme kwamba inaturahisishia sana kazi sisi tulioko kwenye tight schedules za muda manake wakati wa kushika vitabu unakuwa mdogo sana au hata unakosekana kabisa

mkuu Lodrick (eng) usichoke kaka,mkuu Bavaria bado tunasubiri umalizie maandalizi ya ile sheet,baba ONTARIO twendelee mbele mzee wa kazi,complex,Bennick na PIPSOLOGISTS wote mzidi kugawa maujanja tufaidi wote..

mara nyingine niwapongeze sana kwa bidii zenyu wote..katika hili nina imani tutafika tu.

asanteni wadau...
 
forex trading
bado una muda wa kutosha ila inakubidi uwe determined sana...binafsi nimekuwa nikifanya studies zangu ila kwa sasa kulingana na hali, inakuwa ngumu kidogo kupata muda wa kuconcentrate hivyo ninapochungulia humu napata maarifa,nikichanganya na ya kwangu mambo yanakaa sawa..
 
KWENYE HUU UZI WA FOREX,KUNA WATU WA NAMNA NYINGI WA KUWEZA KUELEWA,KUNA WATAKAO ELEWA KWA KUSOMA NA KUFANYA NAJARIBIO WENYEWE,KUNA WENGINE HADI WAFUNDISHWE NA ONTARIO NDO WATAELEWA,KUNA WENGINE HADI WAKAE KWENYE MAGROUP DISCUSSION,KUNA WENGINE WAKISHAFUNDISHWA WANAHITAJI WAKAE NA MTU AU WATU KUFANYA PRACTICE NDO WAELEWE,KUNA AMBAO ENGLISH HAIPANDI NA WANAPATA TAABU KUTAFSIRI NDO MAANA WANAKUWA BIZE NA KUSOMA MESASAGE ZA AKINA ONTARIO,AKINA BAVARIA NA WENGINE AMBAO KWA KIAC FLANI WANAELEZEA KWA KISWAHILI.HII FOREX KWA NILIVYOELEWA HAHITAJI PAPARA IKO SAWA NA MTOTO ANAENZA LA KWANZA WAKATI HUOHUO ANATAKA KUSOMA MASOMO YA DARASA LA SABA,SIKATAI KWANI KUNA WENYE VIPAJI.
 
Kwa wanao tumia iq option broker nitafteni, nina toa signal za uhakika na free kwa makubaliano ya kulipwa baada yakupata faida yako.
 
Huyu anaonekana kama ni mzinguaji, na integrity yake inatia shaka. Na swali la msingi, ni kwa nini wanajitokeza sasa hivi kufundisha hii forex.?
Amesaidia... kwa wale wasiojua kingereza.... by the way naona yupo vizur tu.......
 
Kwa wanao tumia iq option broker nitafteni, nina toa signal za uhakika na free kwa makubaliano ya kulipwa baada yakupata faida yako.

Kwanini usitumie hizo signal upige hela ww au ww hutak faida
 
KWENYE HUU UZI WA FOREX,KUNA WATU WA NAMNA NYINGI WA KUWEZA KUELEWA,KUNA WATAKAO ELEWA KWA KUSOMA NA KUFANYA NAJARIBIO WENYEWE,KUNA WENGINE HADI WAFUNDISHWE NA ONTARIO NDO WATAELEWA,KUNA WENGINE HADI WAKAE KWENYE MAGROUP DISCUSSION,KUNA WENGINE WAKISHAFUNDISHWA WANAHITAJI WAKAE NA MTU AU WATU KUFANYA PRACTICE NDO WAELEWE,KUNA AMBAO ENGLISH HAIPANDI NA WANAPATA TAABU KUTAFSIRI NDO MAANA WANAKUWA BIZE NA KUSOMA MESASAGE ZA AKINA ONTARIO,AKINA BAVARIA NA WENGINE AMBAO KWA KIAC FLANI WANAELEZEA KWA KISWAHILI.HII FOREX KWA NILIVYOELEWA HAHITAJI PAPARA IKO SAWA NA MTOTO ANAENZA LA KWANZA WAKATI HUOHUO ANATAKA KUSOMA MASOMO YA DARASA LA SABA,SIKATAI KWANI KUNA WENYE VIPAJI.
\Mkuu huo ndio ukweli wenyewe watu wako tofauti sana katika uelewa mfano mimi nimesome weee sielewi sasa imebidi nisubiri wanaoelewa wanieleweshe taratibu ila naamini tutafika
 
KWENYE HUU UZI WA FOREX,KUNA WATU WA NAMNA NYINGI WA KUWEZA KUELEWA,KUNA WATAKAO ELEWA KWA KUSOMA NA KUFANYA NAJARIBIO WENYEWE,KUNA WENGINE HADI WAFUNDISHWE NA ONTARIO NDO WATAELEWA,KUNA WENGINE HADI WAKAE KWENYE MAGROUP DISCUSSION,KUNA WENGINE WAKISHAFUNDISHWA WANAHITAJI WAKAE NA MTU AU WATU KUFANYA PRACTICE NDO WAELEWE,KUNA AMBAO ENGLISH HAIPANDI NA WANAPATA TAABU KUTAFSIRI NDO MAANA WANAKUWA BIZE NA KUSOMA MESASAGE ZA AKINA ONTARIO,AKINA BAVARIA NA WENGINE AMBAO KWA KIAC FLANI WANAELEZEA KWA KISWAHILI.HII FOREX KWA NILIVYOELEWA HAHITAJI PAPARA IKO SAWA NA MTOTO ANAENZA LA KWANZA WAKATI HUOHUO ANATAKA KUSOMA MASOMO YA DARASA LA SABA,SIKATAI KWANI KUNA WENYE VIPAJI.
Yah hapo ni kweli,kuna ambao wakisoma vitabu tu na practice inatosha kama alivyoanza kujifunza Ontario kutokana na maelezi yake,hao wanaitwa Akili kubwa.wengine mpk wafundishwe sana sana
 
Mbona ni wengi sana wanaofundisha Forex, hata humu mbona hauhoji ni kwa nini wanafundisha?

Hujaelewa my concern. Forex bussines imekuwepo out of reach kwa watanzania wengi kwa muda mrefu ilihali nje ya TZ imekuwepo kwa muda mrefu. Ni mwishoni mwa May mwaka huu wengi wa watanzania ndo tumeifahamu kama kuna kitu kama hicho.

Na nadiriki kusema wengi ambao hatukuwa na uelewa wa hii biashara ama tulikuwa na uelewa wa juujuu, na asilimia kubwa tumeifahamia hii biashara kupitia huu uzi na michango yake.

Sasa swali ni je, hao wanaonzisha page za kuhusu FX baada ya kuanzishwa hii thread katika mitandao mbalimbali ya kijamii, walikuwepo katika hii biashara kabla ya uzi huu kuzaliwa, walikuwa wapi siku zote kupromote hiki kitu.?, why wajitokeze recent, what is their motive.? Je tuwaweke katika kundi gani la maoputunists ama waalimu wa ukweli wenye nia ya kusaidia watu.

Maana ukiangalia wengi wa watanzania waliofungua na kuanzisha channels youtube, page facebook, instagram, wengi wao wameanza kujihusisha na haya mambo june ya mwaka huu ambapo hii thread tayari ilikuwa inaexist . Hiki kitu ukikifikiria katika 3D kinatia shaka kwa ustawi wa young traders na ameteurs kwani kuna hatari ya either kutapeliwa ama kupewa information ambazo si sahihi juu ya hii biashara kutokana na hao wanaoendesha hizo page integrity, commitment na dedication yao katika hiki kitu ni questionable.

Ninachokiona katika hili, kuna hatari ya ameteur traders ambao ni wajanjawajanja kujivika upro, na kuanza kuwafundisha ameteur traders wenzao ambao wana kiu ya kufahamu hiki kitu na kupata mafanikio.

Na kuhusu wakufunzi wapya wanaojitokeza kufundisha humu, naona haina shida kwani tayari humu kuna medium level traders ambao wanaweza kukosoa pale kitu cha uongo kinapotolewa kwa raia.

By the way huo ni mtazamo wangu na nimeliona hilo jambo katika angle hiyo na nimeongea hayo kwa kuwa posts nyingi za hao wanaojiita forex gurus kwa Tanzania zimeanza kuwepo mitandaoni baada ya mwezi may mwaka huu. Kitu ambacho ni very doubtful.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom