Nasubiri jibu lako, maana magufuli amenifumania kwenye salary yangu, amekula 135,000/- aisee so confused. Forex ntaifuatilia nitokemoNimekuelewa mkuu sasa mtachukua watu randomly au kwa njia ipi i mean hao 300.. Mtz wa kawaida ajiandae na mtaj sh ngapi pesa inaiva kwa muda gani
Kasema laki tano mkuu. Usd 200inaanza na mtaji wa shilingi ngapi?
Wa dsm watatutime maana wako hukoKwani katoa utaratibu wa kumpa namba ya simu,, tusubiri tu but I ques tutaambiwa nafasi zimeshajaa
Mkuu naomba nifuate nyayo zako ulizopitia japo wanasema maisha hayana formula kwa hiyo usiangalie ya jirani yako...Kwa mwanzo kabisa hao watu watatusamehe kwakweli, lkn naamini with time tunaweza kutrain mentors ambao watatoa special classes kwa hiyo group. Haishindikaniki boss.