Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Ah, basi deci na forex ni tofauti...
 
Kwenye kupiga hela kila mmoja ana mbinu zake, msisahau kuleta mrejesho
Wapo wanaopoteza pesa, it's true... Kuna mtu namfahamu aliunguza akaunt ya 7M in a week...

Bahati nzuri, wote wanaopoteza pesa, huwa WANAJUA ni nini walikifanya mpaka wakapoteza pesa...

Binafsi, nimeunguza akaunt 4 mpka sasa, na NAJUA ni kwa nini... In the long run, this thing will be profitable, trust me...
 
Mkuu ulishawahi tengeneza faida kwenye hii kitu
 
Cc Ontario jamaa kakusanya pesa za mazuzu halafu kawaacha hata Jf kawakimbia.poleni sana hakuna Mt anaependa ufanikiwe kama yeye ukiona mtu anakupa mbinu zakufanikiwa kama yeye mtizame mara 2, labda awe baba yako au Mama ako no way as long Jamaa Ontario alikua na malengo yakukusanya mpunga.

Kibaya zaidi kawaambia Forex ni utajiri wa haraka aliwaongopea sana.

Ndio yale ya Mganga akupe utajiri wakati yeye masikin.
 
Watu tulioenda training tukaweka seed dola 100 na kupiga 350 first week huwa tunafurahi sana nyuzi kama hizi.uzuri wa hela wachache wawenazo hlf wengi wasiwenazo,ulishajaribu kuimagine Kila mbongo angekuwa Dewji,endelea kuwajaza watu umaskin
 
Watu tulioenda training tukaweka seed dola 100 na kupiga 350 first week huwa tunafurahi sana nyuzi kama hizi.uzuri wa hela wachache wawenazo hlf wengi wasiwenazo,ulishajaribu kuimagine Kila mbongo angekuwa Dewji,endelea kuwajaza watu umaskin
 
Safi mkuu mimi nafanya study ya hii kitu

sasa hivi naparactice demo account

kutoka kwa broker paperstone wa Autralia

japo kuna vitu sivielewi ....lkn nataka

nianze na dola 3000 nikifungua real account
Gud.. Demo ni muhimu... Then unaweza trade cent kabla ya kwenda standard account...
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…