Rob Art
Senior Member
- Jul 7, 2016
- 140
- 166
Hahaa mkuu, forex ni mental game aisee. Hata uwe mtaalamu wa analysis kiasi gani pyschology ikiwa wrong utapata loss za kutosha. Learned that a hard wayMkuu umeunguza demo,mm nilijaribu kuunguza kwa makusudi nikafeli,ila hongera kwa sababu utakua umejifunza kitu.
Nakushauri km tyr unajua angalau basics soma naked forex,ukikimaliza na kuapply uliyosoma hutajutia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app